Recent content by kaka cliff

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asante sana mtoa mada!.. Nimejifunza kitu hapa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara kwa mtaji wa 1.5ml

    Nimejifunza kitu hapa!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utambulishoo huu noma sana

    Kaa kitako nikueleze hiyo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa ubakaji ataka kubaka tena ndani ya jengo la mahakama

    Hiki hakiwezi kuwa ni kiu, hiyo ni kwikwi kabisa.. Maana kiu kinaweza vumilika
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hawa Vodacom wanaumwa!!

    Ha ha haaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wenye silaha huwa wanafanya nini kwenye makutano ya barabara?

    Ni kweli mkuu, ni muhimu wao kuwepo hapo kwa kazi husika, na si vinginevyo!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Nimejifunza kitu hapa kaka, asante sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wenye silaha huwa wanafanya nini kwenye makutano ya barabara?

    Inawezekana mada imemgusa kwa namna moja ama nyingine, pengine na ye ni askari ndio maana hasomi hoja akaielewa anaishia kulalamika tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Haya majanga: Nyoka kuwafanyia massage binadamu

    Wanaleta utani hawa watu..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    Ni kweli kabisa, watu wengi huwa tunaishi maisha ambayo siyo yetu, mwisho wa siku tunaumia
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    Na hapa ndipo watu wengi wanapoumia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya ni maendeleo au matatizo?

    Dah!, hilo neno mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania FUTUHI ndio comedians pekeee waliobaki TZ

    Futihi wanatisha Africa mashariki na kati mpaka central unaambiwa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je ni uamuziii gani utachukua

    Kama ni mimi kwanza nalia, alafu nitamparura, kisha namng'ata then namalizia na bonge la ngumi la shingo kudadeki
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza lakini nakosa jibu

    Kwa situation hyo, unakimbia kwanza then una-reason baadae
Back
Top Bottom