Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Mkuu bado naona Vodacom wana vifurushi vizuri ukizingatia kuwa mitandao mingine haijaleta vifurushi bomba zaidi ya kushusha idadi ya MB na dakika.
Yeah binafsi ninaimani nao sana tu
Mkuu bado naona Vodacom wana vifurushi vizuri ukizingatia kuwa mitandao mingine haijaleta vifurushi bomba zaidi ya kushusha idadi ya MB na dakika.
Mbona na Airtel na Tigo zote wamepuguza? Mi nababana hapa hapa! Vuka mkojo ukanyage.....
Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.
Mkuu Airtel switch on umeisoma vizuri lakini unieleweshe?Pia kifurushi cha 899 masaa 24 mitandao yote wamepunguza MB kutoka 300 hadi 200.
Nahamia airtel switch on
Achana naye mkuu.. unahamia wapi sasa na kote kumeongezwa bei/kupunguzwa vifurushi.Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Voda au? Kama ni hivyo hii nyodo iko juu sana! Hata hivyo bado tutahama tu.
Yani hawana ht maana
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa Voda au? Kama ni hivyo hii nyodo iko juu sana! Hata hivyo bado tutahama tu.
Mkuu hebu hapa fafanua
Hivi ndo nn kupunguza dakika za kwenye vifurushi
Eti sa hv 500 ambayo ulikua unapata dk 12 na mb 125 sa hv unapata dk 10 na mb 75
650 ambayo ilikuwa dk 20 ss ni dk 17 na mb wamepunguza pia
Hawa voda mi naona wanaumwa nnya kwa kweli!
Huu wizi wa kindezi mpaka lini asee??
VODACOM......Kazi ni kwakooooo.Leo Voda wamenitumia SMS kuwa kuna ofa mpya inaitwa Cheka zogo. Kumbe ndio lilikuwa lengo lao kuminya vifurushi vya cheka.
Halafu kama utakuwa makini,siku zinavyozidi kwenda kadiri idadi ya watu wanaotumia smartphone inavyoongezeka,hawa ndezi Ndio wanaendelea kupunguza MB. Dawa ni kuwakimbia tu.
Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.
Wewe umejuaje kama hukujulishwa ? Sisi Vodavom tuko hapa kwa maslahi yetu sio ya kwako. Na usitutishie. kama una hama wewe hama tu na sijui utahamia mtandao gani labda TTCL maana Tigo na airtel wako juu zaidi ya Voda. Zantel mwisho wake Magomeni kwenu Kimara mtandao haupatikani. Nasema usitutishie nyau.
Airtel nako si salama wamebadili vifurushi kimya kimya, naona hii mitandao wamekaa pamoja na kujadili jzo bei
hii mitandao yote sasa hivi wanaonekana wameagana kupunguza ....!