FUTUHI ndio comedians pekeee waliobaki TZ

FUTUHI ndio comedians pekeee waliobaki TZ

Si kila unachochukia mwingine nae achukie tuachane na uzandiki na unafiki hapa apendae futuhi aachwe usipenda potea zako na balaa zako
Kuna kitu hujaelewa Eyoma. Kila mtu anatoa hisia zake juu ya Futuhi.Anayesema anaipenda Futuhi halazimishi wasioipenda waipende; na wasioipenda (kama mimi) hatulazimishi wanayoipenda waichukie. Hizo balaa unazozitaja
ni za nini? Ila kwa kweli Futuhi imejaa utoto sana!
 
Last edited by a moderator:
Yaani unasifu ule upuuzi wa Futuhi? Hebu kuwa serious ndugu yangu... Labda useme mizengwe
 
Sio huwa unachukia kwa sababu ya maneno yao kukuchoma kweli? Maana kama kile kipengele cha mtafiti najua huwa anawagonga wengi sana.
Huyo mtafiti unayemtaja naye kajaa utoto mwingi kwenye presentation na mannerisms zake! Nashindwaga kumsikiliza.
 
jamaa wengine nliokua nawakubali ni wale . Jambo na vijambo aiseeeee ni kama............ Walikua eatv jamaa wakali hasa chauroho na yule jamaa kama jesus sa cjui futuh watashka no ngp ktk comedy ya bongo

hapo umegusa penyewe hao wote ndo wanafuata huwa nacheka hadi najishtukia
 
Aisee kweli 100% futuhi wanatisha, ila wabongo sijui vp washkaji(OK) wamepata fedha kidogo wamejisahau mbaya, Jamani badilikeniiiiiiii ubunifu ndo kilakitu, big up futuhi.
 
Huyo mtafiti unayemtaja naye kajaa utoto mwingi kwenye presentation na mannerisms zake! Nashindwaga kumsikiliza.

Kwahiyo kumbe unamtazamaga? Acha chuki bro.
 
comedy pekee Tanzania ni Mizengwe tuu ya akina sumaku, hizi zote zilizo katika mfumo wa taarifa ya habari ni takataka tupu
Huo ni mtazamo wako,nasi wengine pia twaona mizengwe vivyo hivyo.
 
Wakenya wapo vizuri kwenye komedy zao kama ni kuchekesha hawana maneno mengi mfano hiyo naswa haina neno hata moja lakini ukiangalia unaongeza siku za kuishi. V
Hata hao wakenya uwasifiao pia wameiga ''the stunt comedy show''

Kusifia hakukupunguzii kitu,kwa Tanzania yetu FUTUHI wanafanya vizuri full stop.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom