Utambulishoo huu noma sana

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Basi juzi nisikia jamaa flan anamtambulisha mtoto wake kwa nduguye mabo yalikuwa hiviiiiii,

MTAMBULISHAJI: Basi mwanangu huyu hapa ni nguguyo kabisa ni mtoto wa bibi yake na shemeji wa binamu yake na baba yake mkubwa na mume wa wifi yake na dada mkubwa wa mpwa wa mjomba wako.

MTAMBULISHWAJI : kabaki katumbua machooo bila kusema kitu, nikasema kweli undugu huuu hatareeeeeeeee
 

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,799
2,000
shangzi wa bibiyake tumbo moja na mjomba ake mama ake ambaye mkuu mwemzie ni mbonde wa rufiji kwa hyo wewe huyu ni mjomba wako upande wa bibi yako nyamkumba.
aise huwa cpati picha kabisa ani naonaga bluu bluu naishia kuitikia tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom