Hivi haya ni maendeleo au matatizo?

Hivi haya ni maendeleo au matatizo?

Mkuu umeongea point ya Msingi ingawa kuna watu wanakubeza kwa kuwa nao walifanya hivyo. Kinachotofautisha Middle class na Rich ni jinsi ya ku allocate pesa katika maisha. Matajiri huwa wanawekeza pesa zao kwenye rasilimali zinazozalisha, lakini tabaka la kati wananunua vitu vinavyokula pesa kama magari.
 
Angeiweka hyo hela kwenye kibubu unadhani kodi ya mafuta tutapata wapi? Taxes zilitolipwa kwa ajili ya hyo falt screen na altezza?

Rethink again
 
Back
Top Bottom