Recent content by Kaisikii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimewashtukia watu JF

    kule mombasa wanaitwa kozimenha ha ha bbc idhaa ya kiswahili hiyo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mlimani city "kama nawatch movie"!

    asa kisa hatuna umemendo tusiongee kienglish jamani?tukishindwa mnatucheka tukijaribu pia lawama lipi jema kwenu nyie?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mlimani city "kama nawatch movie"!

    asante kwa kutujuza maduka makubwa..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Aine -kwa ajili yako

    aine huyu alifanywa nii jamaninimetokea kumpenda jamani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sambusa Zapigwa Marufuku Somalia

    wasitumie na dolarbasi maana ina pembe tatu kubwa tu ya ukweli pale katiiiiii.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya Africa

    Haihusu kabisaaaaa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Roho yangu nimemkabidhi MUNGU - Nape

    jamani tunakuombea ingawaadagaa mara nyingi yupo atalini kuliwa na samaki wakupwa kamapapana nyangumi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape vs Lowassa

    mnyukano au kunyukwa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nape vs Lowassa

    za nini tena?tunamwombea sana,nadhani na LOWASSA anamwombea maana siku hizi kaokoka naenda hadi kwa tb joshua nigeria.sema tunoje september si ndo mwisho wa wanaohusika na UFISADI?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    mh jamani ebu acheni mada na mijadala ya kidini tuchagueni mashehe walioenda shule muone kama watakaa kudai madia ambayo yako nje ya uwezo wa serikali...mbona chuo kikuu cha morogoro kilipotolewa watu wamekaa kimya hadi leo?swala hapo mujipange hela na sadaka zinazopatikana kwa mfano kwenye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    we mwanzisha madaa unachuki binafsi umejipanga wazi wazi tena kweupe kujaribu kumchafulia maghufuli.binafsi naona thread yako imekaa kisiasa zaidi ndani yake..itakuwa ni mwakilishi wa watu waliokumbana na marekebisho yaliyofanywa ndani ya wizara.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni waungwana kukubali kukosea.

    we chakuangalia ni kauli ya mwisho kutoka basii,kama ni ya lukuvi basi fuata cha lukuvi. mengine waachie wenyewe viongozi,,jaribu kuwashauri na wanachi wenzetu pia wasiumizwe na maswali kama yako
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wz'bar waloko Tanganyika ni wafanya Biashara/Watanganyika walojaa Z'bar shughuli zao nini?

    nchi ni moja mambo ya kujuana kwa kuangalia vichogo yashapitwa na wakati ingawa ni mbinu za wachache wanaotaka kuleta vurugu nchini kupandikiza mbege ya kutaka kuvunja muungano..ingekuwa wazanzibari wanakatazwa kufanya wanachofanya wabara hapo mada yako ingekuwa na matinki.otherwise sijaelewa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mpendazoe atoa sh mil. 15 kama dhamana kesi ya uchaguzi.

    angezitumia kwa mambo yake mengine baada ya kukosa hata zile za malipo ya miaka tano akiwa mbunge na akiziingiza katika ngwe ya 2015,ni mawzo yangu tu hayo kwa mpenda zoe.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tabia zao please!

    akina tuntufye hao ni balaa kwa wagumu sana kuchange tabia zao na wanavyofikiria wao
Back
Top Bottom