Roho yangu nimemkabidhi MUNGU - Nape

Hapo walipofika kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu ni patanu sana...ni vita kali dhidi ya uchaguzi wao 2012 na kinyang'anyiro cha urais 2015..ki-mchezo chezo tutawapoteza baadhi yao
 
ONGEZA na HII. Amekodisha nyumba kutoka Urafiki, naye ameipangasha kwa Mchina na kulipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
 
Inatia shaka kama kweli amemkabidhi Mungu. Kunauwezekano akawa ameikabidhi kwa MARUHANI. Ngoja tuone Mungu atatuambia tu, kwa sababu huwa hamfichi mnafiki!.
 
nimesoma gazeti la jambo leo limemnukuu nape akisema roho yake ameikabidhi kwa mungu katika wakati huu mgumu wa vita dhidi ya mapapa ccm

jamani tunakuombea ingawaadagaa mara nyingi yupo atalini kuliwa na samaki wakupwa kamapapana nyangumi
 
Sasa yeye alitaka roho yake amuachie shetani?mungu ndio kimbilio lake na nguvu yake anapaswa kulifahamu na inambidi aache kuropoka hovyo awe mtu wa vitendo,magamba yamegoma sasa anatuambiaje kuhusu hao boyz2men walio baki.
 
Nimesoma gazeti la JAMBO Leo limemnukuu Nape AKISEMA Roho yake ameikabidhi kwa MUNGU katika wakati huu MGUMU WA vita dhidi ya mapapa CCM
<br />
<br />
mimi binafsi namuombea kwa mungu amlinde wasije waka "MKOLIMBA"
 
nape don't fool us! Tanzania unaijua na matatizo yake. kwanini unakua mnafiki!? saidia nchi yetu kijana
 
kuna siku nilisikia akisema, namnukuu "kwa sekretary hii, sasa wapinzani watacheza ngoma yetu sio sisi tucheze ngoma yao, sisi ndio watawala bwana" lakini kwa sasa naona hao anaowaongoza wamegawanyika, kabla hawajapiga ngoma wenzao wanauza ule mdundo kwa wapinzani, wapinzani wanawapigia na wao wanacheza, kwa kweli namwonea sana huruma yeye na wenzake kwani hawamwelewi kiongozi wao. kwa wale wanaosoma biblia kuna kifungu fulani ambapo Yesu alikuwa anaelezea uchungu alionao kutokana na mateso atakayoyapata pindi atakapofika Yerusalem Msaidizi wake aitwaye Petro alianza kumliwaza akimwambia kuwa jambo hilo halitatokea, lakini yesu alimkemea akamwambia "Nenda nyuma yangu Shetani" kwa mtu wa kawada unaweza usielewe.
 
Huyo mnafiki tu hamna lolote,mwenyewe alitia mkono ccj baada ya kutoswa ubunge ndio wakampoza na ukuu wa wilaya,.
 
Back
Top Bottom