Nimewashtukia watu JF

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,476
78,706
Nasikia Faiza Foxy alisomaga seminary enzi za mkoloni.
Rev Masanilo alisomaga madrasa akakimbia bakora.
Mohamedi shosi maalim wa madrasa.
St Ivuga katekista.
Jeykey mnajimu/mtabiri wa nyota

Endeleza wengi
Jf chit chat msipanic, niliowataja
 
....nasikia Faiza Foxy alisomaga seminary ..enzi za mkoloni...
Rev Masanilo...alisomaga madrasa akakimbia bakora ...
Mohamedi shosi..maalim wa madrasa..
St Ivuga..katekista...
Jeykey...mnajimu/mtabiri wa nyota

Endeleza wengine

Jf..chit..chat..msipanic ..niliowataja


Mirembe umetoka lini?
 
Namfahamu #Mtu chake, alikuwa mke wangu wa tatu nikamuacha kwa tabia hizhiz hivyo wana jf mvumilieni!
 
...hahahahahaahahaha..popo bawa..awe mke wako kweli?..JB..nitake radhi..kaka mkubwa..check post #5
 
Nasikia pamoja na ww kuwa hakimu lakini unakula ganja sana, nasikia
 
Mtu chake nasikia ulipopanda ndege na ilivyopaa tu ulipiga kelele kuuliza "Khaa! Saa ngapi nimevuta bangi mbona naona kama napaa mimi?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom