Wz'bar waloko Tanganyika ni wafanya Biashara/Watanganyika walojaa Z'bar shughuli zao nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wz'bar waloko Tanganyika ni wafanya Biashara/Watanganyika walojaa Z'bar shughuli zao nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Mar 12, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi huchangazwa na Wtanganyika ukisema kuhusu kero za Muungano na kasoro za Muungano hujaa juu na kubadilicha topic na kusema tutawahamicha wzanzibar waloko Tanganyika na hatuto wauzia vidunguu na mbatata kutoka Tanganyika ok.
  Sasa hawa Wtanganyika walojazana mitaani na kwenye fukwe za Zanzibar na watoto wao (beaches) tuwafanye nini na chuhulizao ni nini?.

  YouTube - KIWENGWA BEACH ZANZIBAR
   
 2. K

  Kaisikii Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi ni moja mambo ya kujuana kwa kuangalia vichogo yashapitwa na wakati ingawa ni mbinu za wachache wanaotaka kuleta vurugu nchini kupandikiza mbege ya kutaka kuvunja muungano..ingekuwa wazanzibari wanakatazwa kufanya wanachofanya wabara hapo mada yako ingekuwa na matinki.otherwise sijaelewa nia yako hasa ni nini.
   
 3. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Si biashara nao? Kama bidhaa fulani hamna basi walionazo watafanya biashara. Hakuna cha kushangaza hapo isipokuwa ndugu zetu wajuwe kuwa huku kubanana ni pande zote!
   
 4. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pengine ni kutaka kuwajuvya kuwa haya ya kuhamiana yako pande zote> Hilo unalodai la kutochokoana kwa upande wa mtu anakotoka halipewi nafasi hapa bali tamko siku zote Wapemba Wa Kariakoo. Ingefaa tuelewe kuwa kila upande una wahamiaji.
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwani hawa wanapinga muungano? Kwani na wewe ulitokea wapi then ukaanza kujiita Mzanzibari?
  Mbona Wazanzibar wapo kila mkoa Bara, na hao pia ni haki yao kukaa/kufanya shughuli huko. Nataka nipeleke hoja yangu vile visiwa viwili (Unguja na Pemba) viwe mikoa ama wilaya za Tanzania, na vilevile tubakiwe na serikali moja tu kupunguza gharama zisizo na msingi.
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :focus: ACHENI UNCHI HAPA YOTE NI TZ
   
 7. c

  chamajani JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mod, JF itapungukiwa nini ikiwa utamfutilia mbali huyu Abdulahsaf kwenye uwanachama wa JF, anatutoa kwenye hoja za msingi amebakia kuleta upupu tuuu! Shame on her
   
 8. M

  Mswahela Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Facts and figures kutoka Tabia Nchi/Climate change zinaonyesha kuwa Visiwa vya Zanzibar na Pemba vitakuwa vimezama/mezwa na Bahari ifikapo mwaka 2085; hivyo mwache ajinafasi kwa miaka michache iliyobaki.
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi wewe abdulahsaf ni kabila gani....?
   
 10. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu wewe Kijana kila siku lazima uweke uozo wako hapa kuhusu Muungano, kama umechukizwa na muungano andamaneni au uvunjeni sio kuja kupandikiza chuki zako binafsi hapa JF. Nimekufuatilia kwa makini kila unapotoa trend zako hapa unalalamika kuhusu Muungano. Huu Muungano hauna faida na sisi (Tanganyika) hata kama ukivunjika leo hautuathiri kitu chochote, wakati nchi za Ulaya zinalazimisha kuungana kuwa nchi moja sisi Tunataka Kuvunja Muungano. Kama una chuki binafsi na umeshindwa kulazimisha rais wenu kuvunja Muungano nenda kanywe sumu. Inaelekea hili swala la Muungano linakukera sana:tongue: Sisi Watanganyika hatuna haja ya Muungano lakini hatupandikizani chuki kama nyinyi au wewe ulivyo kazi yako ukija hapa JF kupandikiza chuki. Ulaaniwe hukohuko na chuki zako. Kama mnataka :smash: muungano vunjeni mtuachie tanganyika yetu:embarassed2:
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na wewe nawe usiyeelewana nae ni adui? Mbona tunasoma mengi kwa huu upupu unaouona wewe> Tungekujuwaje wewe kama mtoto wa wa Maa, lazima ulindwe? Simama na utowe hoja na unapoona si stahiki ya hoja basi jikunyate pembeni!
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Baada ya Maandamano iweje? Nyie CHADEMA si mnafanya maandamano na huku humu mnatowa utumbo wenu (baadhi ya post)? Huyu jamaa tatizo kwake sio ufisadi wala uchakachuaji bali ni Muungano na kwa vile kila anapoposti mnakasirika hilo kwake ni raha. Kama anayoyasema si kweli basi njia sahihi ni kudharau au kutoa facts na siyo kufura. Unapozungumzia kupandikiza chuki hizi za kuichukia serikali, udini na matusi kwa viongozi huyaoni kama kupandikiza chuki? Muwache kijana ajinafasi na akivuka mipaka atakumbana na sheria za ukumbi na wala haihitaji chuki binafsi!
   
 13. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nashukuru umekajibu vizuri haka kashikaji. Kabaguzi kweli. Sijui kanaishi wapi? Kanaonekana kuwa na roho maskini kweli. Muda wote hana peace kwa kuwepo Watanganyika huko kwao. Kijamaa hiki kinadhani tunahitaji sana kuungana nao. Binafsi muungano ukivunjwa hata leo poa tu!
   
 14. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Pumbaaaf kabisa!!! Hivi wewe una miaka mingapi lakini? Mods fungia hii mutu mara moja!
   
 15. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Unajua watu msiopenda kufanya tafiti mnakuwa kama nyimbo za mipasho. Kama si kujisifia mapenzi basi ni kutambiana. Si kila asiyeridhika na serikali ni mfuasi wa Chadema. Zanzibar ndo kulikuwa na tabia hiyo kabla ya kuunda serikali ya Umoja. Ukisema waziri kakosea basi wewe ni CUF. Tumia akili 'mjinga' wewe (sijasema Mpumbavu japo unaweza kuwa). Kuna watu kibao wanatofautiana na mawazo yako mgando lakini si CDM. Kama hujui Forum hii ni ya watu wanaotafakari na kupima zaidi kuliko watu wanaokimbilia suluhu za harakaharaka kama wewe. .... Siyo ukiona anaelekea upande X basi ni A na akienda Y basi ni B... Kasome ujue akili za watu zinavyofanya kazi. Nani kakwambia kila asiyekuwa rafiki yako ni adui yako? Kuna wengine hawakujui kwa hiyo si rafiki zako lakini si maadui zako pia. Usiwe mjinga!
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kinachoshangaza ni kuwa wanaolalamika kuhusu Muungano ni Wazanzibari, kama kweli tunaona hawana umuhimu kwetu tunawakumbatia ya nini? Kwa nini tusiuvunjilie mbali huo Muungano maisha yaendelee kuliko kuwalazimisha Wazanzibari ilhali hawatutaki??
   
 17. N

  Nonda JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Ingawaje unaona suluhisho la kero au kelele za Muungano ni kuvigeuza visiwa Unguja na Pemba kuwa mikoa au wilaya...kweli mawazo kama haya ndio yanayochochea hizi kelele.

  Mkuu, rudi ulipoundwa Muungano. Kulikuwa na Tanganyika na Zanzibar(Unguja na Pemba). Nchi mbili ziliamua kuunganisha mambo 11...sasa vipi mambo kumi na moja yanafanya nchi moja?

  Hoja itakuja mbona Tanganyika haipo. Ipo mkuu ila hatuiti kwa jina la awali, leo tunaiita Tanzania bara. Uhalali wa hili sijui unatokea wapi.

  Lakini haya mapendekezo yako inawezekana ndio lengo lile alilokuwa nalo Mwalimu la kuifuta nchi ya Zanzibar. Hili jaribio ndio linaloleta kelele hizi za wazenj kila siku na ni pale tu tutakapotambua kuwa Zanzibar hata kwa udogo wa eneo na wakaazi wake ni nchi ambayo tuliungana nao katika mambo ya muungano basi tunachelewesha tatizo tu na kulikuza.
   
Loading...