Recent content by Kafka Bruno

  1. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    [emoji2] [emoji2]
  2. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Shigongo anasifia chchte kinachofanywa na Rais naww unapinga na kuchukia chchte kinachofanywa na Rais so mmekutana[emoji2] [emoji2]
  3. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania JWTZ isikubali kutumiwa namna hii, itoe tamko

    Chakaza Kubwa zima unamsikiliza Mange Kimambi,wale ni askari as JWTZ,POLISI,MAGEREZA NA JKT wote pamoja walishiriki mazoezi ya utayari, hata yule kiongozi wa JW aliyehojiwa humjui?hivi Mange kawaloga na nini mpaka kila analosema mnaliona la kweli?
  4. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

    Na moja ya kata zake ni Mtombozi
  5. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Enzi hizo mnapinga na wenzako "mputo" yani ukishika kitu chchte kizembezembe mwenzako anakiputa na kinakua chake,sasa umeputwa fagio lako then mko mstarini mwalimu anakagua mafagio....daah inauma sna Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  6. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Hakuna cha mgao wala nn mkuu sana sana siku hiyo hauchapwi tu[emoji2] [emoji2] Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  7. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Mwalimu Tunda pale kurasini primary kaniuzisha sna toffee zake na ubuyu daah....ilikua ukiwahi kufika shule tu anakupa box la toffee uuze
  8. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa aina 10 za ndoa usizozijua

    Kweli mkuu hata mm ni mmoja wapo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuitaji vyumba vya kupanga kawe

    Kawe ipi?
  10. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Badala ya kujibu swali naww unauliza swali kabla ya kumpatia jibu mwenzako daah
  11. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Nahisi mm nilizaliwa peke yangu siku hiyo
  12. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inadawai kinyemela nyemela

    Vp mkuu,uliandamana tarehe 3/3/2018? Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  13. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

    Nipitie nipo hapa kwa Buruda Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  14. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Duh....kila nikiangalia sioni wa 12 March Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  15. Kafka Bruno

    JamiiForums Tanzania Trafic huyu jamani

    Pls usinicheke....hebu jaribu basi nione kma nitapata hiyo msg maana nahisi PM yangu mbovu
Back
Top Bottom