Mwenye kuitaji vyumba vya kupanga kawe

Mwenye kuitaji vyumba vya kupanga kawe

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunapangisha nyumba ya vyumba 2 na sebure choo ndani,kodi laki mbili kwa mwezi,pia kunachumba na sebure choo cha nje kodi laki moja kwa mwezi kwa mwenyekuitaji tuwasiline 0783598512 kamera yangu haitoi vizuri picha nafanya utaratibu niweke kapicha.
 
Ungeelekeza vizuri basi ni kawe ipi?harafu ungejitahidi utuwekee na picha.
 
Kawe kuna wachawi sana (wanga}
Ukiwa mwenye kuamini hayo mambo utaishi kama mtumwa ktk dunia hii maana huo ndio mtazamo wako unaokuongoza basi katafute nyumba ya mganga uishi.
 
Kawe kwa wachawi pangeni wenyewe....hatatutaki
Mzimuni
Ukwamani
Malingo
My fair
Kanisani
Kawe mwisho .....mmh..!
 
Mkuu DUCE,DIPLOMASIA,MWL NYERERE,UHASIBU wote hao kwa sasa wanakaa kijichi,jaribu kufikilia matumizi mbadala wa icho chumba.

Alafu kingine kwa ninavopajua Duce labda kama kuwe kumebadilika miaka ya hivi sasa kukuta mwanafunzi wa mwaka wa kwanza mwenye maujanja ya JF ni nadra sana.
WEWE WAPO WENGI TUU KEKO HUKU DUCE WAMEJAAA
 
Back
Top Bottom