Angalia wengi wanaomfuata mange wanatoka maeneo gani darkwanini msifuate udaku wa Magufuli?
huyo hata afanyeje hana followers, followers wake ni police basi.

Shigongo ni kati ya wachumia tumbo na ujue hadi sasa ccm hawaja mlipa elaa zake alizo chapia fulana zaoJapokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.
Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.
Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?
Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?
Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?
"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".
Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.
Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.
Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.
Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.
Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?
Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.
Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.
Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?
Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.
"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".
Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.
Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.
Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.
Na siyo kufikiri tu, wanataka madaraka!Umeongea ukweli sana,wanataka wote tufikiri kwa aina moja
Mkuu nauchukia sana unafiki!! Hiyo nchi ina wanafiki wengi mno. Tena wamejawa na roho za viburi na chuki mpaka kutoa uhai wa watu kama wanaua mjusi, so sad.Na siyo kufikiri tu, wanataka madaraka!
Wanajua kwa kura hawawezi!
Chaguzi ndogo zimeshatoa indication kuwa hata mjini kama Kinondoni hawauziki.
Sasa wanalazimisha vurugu na maandamano !
Eti Rais aliyechaguliwa kwa kura(Sauti ya Wengi) hafai! Alafu wao wanaoendesha chama kidikteta hadi wanakimbiwa na viongozi wanajiona wanafaa! Hii dunia haiishi maajabu!
Na Mimi naunga mkono hoja muraaa!!!Naunga mkono hoja.
Jamaa ni msanii kwelikweli!Ana Co.ya kubet.
Majarida(Magazeti) yenye picha za ngono/story ya kwake.
Ukumbi wa dar live(uwanja wa fisi umehamia huko siku hizi) ni wake pia.
Na bado huyu bwana anajiita mlokole huku akikemea na mapepo kabisaa yaani full usanii tu.
Shigongo anasifia chchte kinachofanywa na Rais naww unapinga na kuchukia chchte kinachofanywa na Rais so mmekutanaJapokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.
Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.
Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?
Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?
Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?
"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".
Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.
Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.
Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.
Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.
Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?
Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.
Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.
Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?
Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.
"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".
Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.
Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.
Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.

Braza huna lolote unalolilia, sana sana unafanya maigizo ya kujiliza bila sababu yoyote. Rais wangu Magufuli kandamizia hapo hapo.Japokuwa kila mtu anayo haki kikatiba ya kutoa maoni yake, lakini wewe ni bora ungekaa kimya tu.
Tuache sisi tupige kelele kulilia Demokrasia na heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa miaka miwili iliyopita.
Leo hii wewe unamwomba Rais Magufuli akutane na viongozi wa dini? wakutane ili iweje?
Umesahau kalamu yako? Unakumbuka ulichokuwa unaandika gazetini kumpigia debe Magufuli?
Unakumbuka jinsi ambavyo ulikuwa unakosa usingizi kwa hofu ya Lowassa akiwa Rais kampuni zako zitafilisika?
"Vipi mume wangu,mbona hadi sasa umeshindwa kulala? "
"Lowassa " .
"Aah, Lowassa hawezi kushinda wewe lala ".
Nimekunukuu andiko lako mwenyewe ktk gazeti la Ijumaa Wikienda.
Watu werevu tulidhani labda ulikuwa na ugomvi binafsi na Lowassa, kumbe una chuki kubwa mno na wapinzani, sikuwahi kutarajia mtu aliyepita mapito magumu kimaisha na mcha Mungu,eti umchukie mtu ambaye hajakukosea lolote.
Wapinzani tunapita ktk kipindi kigumu mno kuwahi kutokea chini ya awamu hii ya tano.
Na hadi sasa hivi viongozi wa dini walipotoa waraka wao kwa serikali kuitaka iheshimu katiba na kurekebisha hali ngumu ya uchumi iliyopo, wamekutana na majibu ya kejeli kuanzia CCM hadi kwa Rais mwenyewe.
Wana ccm wanawaita viongozi wa dini ni vibaraka wa upinzani, na rais kasema kuwa waombe viwanda vya dawa vijengwe na siyo kutoa waraka usio na mantiki.
Sasa wewe unashauri nini wakati ulikuwa hulali Ukitaka Magufuli ashinde?
Humu mitandaoni kuna jeshi kubwa la wana CCM wenzako ambao hawajawahi kuona kasoro zozote za rais Magufuli, kazi yao kubwa ni kusifia tu kila afanyalo rais, kwa nini usiungane nao kusifia, tena una vyombo vya habari.
Sioni sababu kwa nini unalalamika, ni bora ukae kimya kwa sababu utaonekana mnafiki sana.
Unakumbuka pia uliunga mkono Rais Magufuli alivyovunja katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa?
Mimi ni msomaji Sana wa makala zako, uliandika hivi.
"Rais Magufuli yupo sawa kabisa, muda wa siasa umeisha, huu ni muda kufanya kazi ".
Ulishabikia Rais kuvunja katiba, kwa sababu katiba inaruhusu shughuli za vyama vya siasa na mikusanyiko yake.
Wanacholilia viongozi wa dini ni kile ambacho wewe Ulishabikia kiharibiwe.
Ndo maana nimekuambia kuwa ni bora tu ukae kimya.
Mwache Rais Magufuli afanye kazi, na tuache siye tulie, wewe kaa upande uliochagua.
Hapa unataka kusema nini uelewekeAngalia wengi wanaomfuata mange wanatoka maeneo gani dar
Mimi hadithi zake niliacha tokea 2013Anayepoteza muda wake kumsikiliza Shigongo nina wasiwasi na akili yake.
Kweli ww ni kichwa cha samakiWewe umesema pointi kabisa. Hawapendi kwa sababu wao wanatafuta madaraka na siyo hiyo demokrasia wanayoisema. Nitajie nchi gani barani Afrika ambayo haiku was na demokrasia ila walipoingia wapinzani ndiyo wakawa na demokrasia hiyo waliyoihubiri majukwaani.
Nenda mitandaoni kwa yule chizi Mange, yeye anatukana watu asiowataka matusi ya nguoni eti anatafuta haki na demokrasia nchini. Cha ajabu ukimpinga tu (na wala hukumtukana) basi anakupiga ban. Sasa huyo anataka demokrasia? Akiingia madarakani ataiishi?