Hakuna cha mgao wala nn mkuu sana sana siku hiyo hauchapwi tu
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Dah....mlisoma kwa starehe sana....binafsi nilianza kuvaa viatu nilipoenda "chuo"Ukivaa vile viatu vya safari buti unaonekana wa maana kisha unaogopewa na wenzako eti mtu akikuchokoza utampiga navyo kwenye ugoko!
Mi ni miongoni na ndo iliyokua tiketi iliyonisogeza mbele kidogo mpaka nilipo sasa shukran skautiYani enzi hizo kulikuaga na wanafunzi wale maskauti ,walikua wanakula mazoez kama wajeda tena maporini huko
Ni kweli wengu wetu tulikua na Akili hasaaWatoto wa walimu tuliokua tunasoma nao tulikua tunawaheshimu na kuwaogopa kama wao ni malaika! Pia tuliamini kua eti watoto wa walimu wana akili zaidi kushinda sisi!!
Nakumbuka tulikua tunachukua Atlas na kutafuta ramani mojawapo kisha tunacheza mchezo wa kutafuta,
Yaani unachagua jina la nchi au mji kwenye hiyo ramani kisha umamwambia mwenzio;
"Nionyeshe mji fulani uko wapi?"
Hii ilitujenga sana kujua miji na nchi za dunia nzima,
Kitambo sana.
Kupewa daftari jipya baada ya la zamani kujaa? Wewe ni mkongwe mwenzangu. Enzi ya Nyerere hiyo. Sisi ndio tuliomalizia malizia huo utaratibu. Hapo ndio kulikuwa na elimu bure ya kweli. Haya mengine maigizo tu.Lakini lile la zamani lazima aligonge muhuri au alichane kidogo kama alama ili usirudi na hilo hilo daftari tena coz ya kubadilisha na kupewa jipya,ilikua ni lazima kujaladia daftari kwa kutumia karatasi za mifuko ya Smenti.
Tulijengeka sana kijiografiaNakumbuka tulikua tunachukua Atlas na kutafuta ramani mojawapo kisha tunacheza mchezo wa kutafuta,
Yaani unachagua jina la nchi au mji kwenye hiyo ramani kisha umamwambia mwenzio;
"Nionyeshe mji fulani uko wapi?"
Hii ilitujenga sana kujua miji na nchi za dunia nzima,
Kitambo sana.
Acha tu.Enzi zetu umbali kutoka shule hadi home ilikuwa sio issue. Unaweza kusoma shule km 9 kutoka home. Na bado unawahi namba