Sababu zipo mbili.
01. Dini zote kubwa zinakubaliana kua Mwanamke alikuja kumpa faraja na usaidizi Mwanaume. Kwa maana ingine mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na Mume hujisikia fahari kua na mapambo mengi.
02. Mwanamke ndo chanzo cha uzazi na kuendeleza ukoo, hivyo lazima ujue unaongeza ukoo...
Kaa na Wazee wako brother. Na kama mke hataki, basi mwache aende maana wapo watakaokubali.
Mueleweshe Mke umuhimu wa wewe kuwepo hapo, kisha uwaeleweshe wazazi namna nzuri ya kuishi na mkwe wao.
Mwenyezi Mungu akikupa uhai mrefu hata wewe utakua Mzee, je ungependa wanao wakukimbie?
Ila Mkuu ukishapata hizo hela, chukua sehem umtolee sadakha Marehem Mama.
Unaweza ukakarabati jengo la ibada, ama ukanunua wheelchair ukapeleka mahospitalini zisaidie wagonjwa,
Marehem wanahitaji dua. Na dua ya mtt kwa mzazi ni bora zaidi.
Ndoa ni jambo ni mahusiano imara yanayotakiwa kisimama katika msingi wa upendo, amani, na kujaliana. Hujatueleza kuhusu kama dini ya huyo mume wa mtu inaruhusu ukewenza, kama dini inaruhusu kunakua hakuna tatizo zaidi tu sioni haja ya yeye kwanini aifiche na kuikimbia familia yake.
Lakini kama...
Iko hi I
Degree moja ni Bachelor Degree
Degree ya pili ni Masters Degree (Degree ya umahiri)
Degree ya tatu ni PhD ( Daktari wa Falsafa)
Then hapa hakuna tena degree,...kuna machapisho.
Kunakua na idadi maalumu na muda maalum mtu mwenye PhD akiandika machapisho ya kitaaluma anaitwa Associate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.