Inachukuwa muda gani kupata mafao ya aliyefariki kutoka PSSSF?

May 17, 2014
50
6
Habarini wanaJF,

Naomba kufahamu PSSSF, ukisha submit Taarifa za mhusika ambaye ni mteja wao ambaye ameshafariki inachukua muda gani kupata mafao yake.

Ahsante
 
Uwe tu mvumilivu maana ni wasumbufu sana na wewe uwe msumbufu kila tarehe watakayokuambia usiache kwenda ila ukitulia na wenyewe wanatulia*taarifa ukishazisubmit hapa mkoani ulipp huwa zinatumwa makao makuu alafu wao wanapiga hesabu zao na kurudisha taarifa zako katika ofis ulizosubmitia...ni process ndefu kiukweli
 
Nilimuuliza Afisa mmoja akasema tayari wameshaingiza kwenye database ya hapo Mkoani bado kwenda Makao , na je , unaweza ukawa na uelewa wa Calculation za mafao maana mama alifariki Mwaka Jana , na alianza kazi mwaka 84
 
Mafao yanagetegemea pia na makato yaliyokuw yanakatwa kipindi akiwa hai ila kwa haraka haraka itakua more than 40million kwa makato ya kawaidA

Back
Top Bottom