Kati ya Professor na Dr (phD) nani zaidi

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kuna mahali nilikaa tukabishana hawa wasomi wawili professor na Dr ni yupi msomi zaidi na ni yupi mtaalamu zaidi na yupi senior zaidi?
Nimeuliza hivyo maana nimeshamuona professor mwenye master degree lakini hana PhD kwenye masomo ya education.
Naomba nieleweshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From my experience and knowledge, professor ni highest ranking katika ngazi ya elimu ya chuo kikuu,phd iko chini yake...
Subir majibu zaid kwa wadau
 
Ninavyoelewa mimi, Professor ni ngazi ya juu kabisa ya ualimu katika chuo kikuu. Unaweza ukawa na PhD lakini usiwe Professor. Professor unatunukiwa ukiwa mwalimu wa chuo kikuu lakini mtu unaweza ukasoma PhD halafu bado ukawa lecturer chuoni au ukafanya kazi yoyote nyingine ambayo siyo ya ualimu. Lakini mara nyingi watu walio maprofessor wana PhD vilevile.
 
Uko sawa hii ni sawa ukiwalinganisha wakiwa chuoni lakini kuna mtu unakuta ana PhD lakini hajawahì kufundisha chuo either hakupenda hiyo kazi.Sasa huku mitaani who is senior Kitaalamu pia eleweni uproffessor hausomewi kwa kukaa darasani kama phD.
Nimeona ma Dr wengi wamekuwa ma lecturer mpaka wamestaafu lakini hawajawa maproffessor.

Mtoa mada ameandika "Nimewahi kumuona Prof. mwenye masters degree bila PhD kwenye masomo ya education" hii Imekaaje/Inawezekana?

Distributed Denial-of-Service
 
Inategemea huyo Professor yuko chama gani kwa muda huo! Yaani Kitila Mkumbo wa Chadema uje umlinganishe na Kitila Mkumbo wa CCM wa Leo!! Majibu yako yatakua tofauti sana

Kitochi Original
 
Uko sawa hii ni sawa ukiwalinganisha wakiwa chuoni lakini kuna mtu unakuta ana PhD lakini hajawahì kufundisha chuo either hakupenda hiyo kazi.Sasa huku mitaani who is senior Kitaalamu pia eleweni uproffessor hausomewi kwa kukaa darasani kama phD.
Nimeona ma Dr wengi wamekuwa ma lecturer mpaka wamestaafu lakini hawajawa maproffessor.

Sent using Jamii Forums mobile app

U professor ni kweli hausomewi, mtoa mada anasema kamuona mtu ana master degree ila ki professor.......

Alexander The Great
 
Kuna mahali nilikaa tukabishana hawa wasomi wawili professor na Dr ni yupi msomi zaidi na ni yupi mtaalamu zaidi na yupi senior zaidi?
Nimeuliza hivyo maana nimeshamuona professor mwenye master degree lakini hana PhD kwenye masomo ya education.
Naomba nieleweshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye bold umemanisha nini? Masomo ya education ndio yapi/yapoje?
 
Iko hi I
Degree moja ni Bachelor Degree
Degree ya pili ni Masters Degree (Degree ya umahiri)
Degree ya tatu ni PhD ( Daktari wa Falsafa)
Then hapa hakuna tena degree,...kuna machapisho.
Kunakua na idadi maalumu na muda maalum mtu mwenye PhD akiandika machapisho ya kitaaluma anaitwa Associate Professor ( Professor Mshiriki) then ataandika tena idadi flan ya machapisho ndani ya muda flan anakua Full Professor.

Sasa ilivyozoeleka kuanzia ngazi ya associates watu huanzia kuitwa Professor.

I stand to be corrected.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Professor with Master's degree is possible na ipo. Kwa Tanzania i doubt it, abroad? Yes huo utaratibu upo. That is possible sababu Masters inatosha kabisa kufanya exceptional works (researchs, findings, exceptional works, experience) for somebody kupewa u Prof.

Sijui unatafsiri vipi neno Professor.

Neno Professor linatokana na neno la kilatini likimaanisha "declared publicly"

Sasa PhD kafanya nini atambulike kitaa, Kwa kukaa darasani au?
Yaani kitaa kitetemeke PhD akipita wakati kakesha kwenye dawati miaka 7 anatafuta A na B plus?
Inabidi a publish research papers labda Zaid ya 10 years na zote zipite in a row ndo awe prof., La sivyo afundishe maisha yake yote na u Dr.(PhD)

Professor ni kazi sio elimu. It's just somebody who has done something exceptional that he deserve a respect for his findings/breakthrough. And that respect is Prof. If he was a
Dr.(PhD) now he is a Prof. (Public respect)

Kwa wenzetu huko, kiwango cha chini cha elimu mtu apewe kazi ya u professor ni Masters degree. Huyu professor anaweza kua katika college and hence a college professor.

Mfano (analogy): unakuta kazi inasema ili uapply kazi ya Technical Director wa kampuni uwe na Masters and above same as professor (this is analogy for work only)

PhD ni academic degree ambayo mtu anaipata ikionesha anaweza kufanya kazi ya u professor baadae katika University (not college), au consultant au researcher.

Tofautisha PhD na Professor.

PhD ni degree ya juu ya mwisho katika academic life.
Professor ni kazi ya mwisho ya juu
katika kazi za kufundisha chuo kikuu/academic job.

Tuishie hapa kwanza
 
Ahsante sana nimepata mwanga.Ila kwa Tanzania kulikuwa na prof Mbunda alikuwa na masters degree lakini alikuwa professor wa masomo ya education lakini hata hivyo alikuja pata PhD yake mwaka 1992

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifaransa kila mwalimu ni Profesa ;) Le Professeur

Tanzania, Uprofesa ni cheo kwenye utumishi wa vyuoni. Ukitimiza vigezo vya promosheni, na ukaweza kuabiri kwenye siasa za vyuoni salama, unaweza kufikia cheo cha uprofesa. Vigezo vya uprofesa hubadilika kila mara wenye mamlaka ya kuvibadilisha wanapotaka kufanya hivyo.

Mwaka 2006 niliongea na Profesa mmoja ambaye baadaye alikuja kuwa kiongozi mashuhuri hapa nchini. Aliniambia alikuwa ni miongoni mwa maprofesa wenye umri mdogo sana hapa nchini. Alitimiza vigezo na masharti vilivyokuwepo miaka hiyo na kupata uprofesa. Pakaibuka malalamiko. Mwishowe, masharti ya uprofesa "yakaboreshwa" kuzuia vijana wengine wasiwe maprofesa kwa haraka. Profesa yule akasema, "Ni sawa na unapopanda ngazi, halafu ukishafika juu, unaipandisha ngazi hiyo huko uliko ili kuzuia wengine wasikufikie."

Nilipoenda kusoma Marekani, nilikuwa nawaadress maprofesa kwa kuwaita, "Prof. Fulani". Maana vyuoni kwetu Tanzania, Profesa ndiyo mwisho wa reli. Baada ya muda nikajishtukia. Kila mtu mwenyeji nilibaini huwaita Maprof. walewale kwa majina ya "Dr. Fulani". Ndipo nilipotanabahishwa kiini chake: Marekani kila mwalimu wa Chuo Kikuu ni Profesa. Wenye PhD na wasio nazo. Kwa hiyo kwa wale wenye PhD ni hishma zaidi kuwaita "Dk. Fulani" kwa vile inaonesha utofauti na wale maprof. wasio na PhD.

HITIMISHO: Uprofesa ni cheo tu kwenye utumishi wa vyuoni. Inachomaanisha ni kwamba mwenye cheo hicho katimiza vigezo na masharti fulani ya kufikia hicho cheo.
 
Baraka Obama wkt anafundisha sheria Chicago alikuwa ni Professor wkt ana Masters tu!
Professor ni mwalimu wa ngazi za degree,hata mwenye Masters kama anafundisha chuo kikuu anaitwa Professor
Lkn PhD ni lzm uwe na degree zaidi ya tatu,unaweza ukawa PhD na kuwa Professor lkn sio lzm kuwa na PhD ili uwe Professor

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umemaliza mkuu!
Iko hi I
Degree moja ni Bachelor Degree
Degree ya pili ni Masters Degree (Degree ya umahiri)
Degree ya tatu ni PhD ( Daktari wa Falsafa)
Then hapa hakuna tena degree,...kuna machapisho.
Kunakua na idadi maalumu na muda maalum mtu mwenye PhD akiandika machapisho ya kitaaluma anaitwa Associate Professor ( Professor Mshiriki) then ataandika tena idadi flan ya machapisho ndani ya muda flan anakua Full Professor.

Sasa ilivyozoeleka kuanzia ngazi ya associates watu huanzia kuitwa Professor.

I stand to be corrected.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraka Obama wkt anafundisha sheria Chicago alikuwa ni Professor wkt ana Masters tu!
Professor ni mwalimu wa ngazi za degree,hata mwenye Masters kama anafundisha chuo kikuu anaitwa Professor
Lkn PhD ni lzm uwe na degree zaidi ya tatu,unaweza ukawa PhD na kuwa Professor lkn sio lzm kuwa na PhD ili uwe Professor

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hali kadhalika Prof. Bill Clinton na Mkewe Prof Hillary Clinton hawa walifundisha sheria katika chuo kikuu cha Arkansas.
 
Back
Top Bottom