Sasa mbona sikuelewi?!Asante mkuu,
Sijasema Niko kwenye Hali hii kwa miezi 8 , namaanisha nisipofanya chochote watashikilia mshahara kwa miezi iyo 8,
Kingine bado makato mapya hayajaingizwa na vile vile Kuna tofauti kabisa ya Deni la bodi ambalo lipo kwenye fomu na hili Deni ambalo wameweka kwenye akaunti
Awali ulisema hiyo scanerio imetokea February... almost 6 months ago!
Hapa unasema Watashikilia mshahara kwa zaidi ya miezi 8!
The question is: Wameshaanza kushikilia tangu hiyo issue itokee?!
Kama jibu ni NDIYO, basi hapo ndipo ilipo hoja yangu kwamba ule mkopo wako halali wa NMB + Loand Board, itakuwa umeshalipa almost 6 installments bila kujali watashikilia kwa miezi mingapi!
Na kama itakuwa umeshalipa 6 installments, ina maana unaweza ku-qualify for a top-up! Ndo maana nikasema hapo hapo NMB unaweza ku-apply for top up ili ile excess amount utumie ku-clear deni la 4,234,000/= ili hatimae withholding itolewe kutoka kwenye akaunti yako!
Na ndipo pia nikasema, kama NMB watagoma, I still believe hiyo 4,234,000 haiwezi kutokea kwenye salary slip (unless you say otherwise kwa sababu unazipata hizo salary slips)!
Na kwavile hiyo 4,234,000 haiwezi kutokea kwenye salary slip (otherwise wasinge-hold account), ina maana you still have a clean salary slip unayoweza kuitumia kwenye bank nyingine kuomba mkopo utakaokusaidia ku-clear deni lako ili akaunti yako NMB iwe released!
amu hapo juu kanithibitishia kwamba tuna Credit Bureau na ipo effective, but I think -4,234,000 haiwezi kuwa reflected huko.
But all in all, kama walisema watashikilia for almost 8 months... na miezi 6 inakaribia kuisha, sasa kama ulivumilia miezi 6 yote hiyo, kwanini usivumilie hiyo miezi michache iliyobaki?