Baada ya kukutana naye kimwili amebadilika sana

Habari za wakati huu wanaJF

Binafsi nipo mzima wa afya naamini pia nanyi mu wa wazima!

Kuna mdada nilifahamiana naye kutoka kwa aliyewahi kuwa mpenzi wangu. Ushemeji wetu ulidumu kwa muda mchache na baadaye tukawa wapenzi.

Yeye yupo west Kilimanjaro mimi nipo Simanjiro. Huyu mdada alionesha kunijali sana, huku akionekana kuhitaji kuwa na mimi kimwili hivyo kutoka na uzuri wake na vile anavyonijali sikuwa na jinsi nikaingia mtegoni, akasafiri kutoka West Kilimanjaro tuje tukutane Arusha.

Kweli sikupima na wala sikutumia kinga na sio kawaida yangu kabisa sijui nini kilitokea. Cha ajabu baada ya shughuli hiyo amerudi kwao amebadilika mazima. Napiga simu anapokea mwanaume, wakati mwingine akipokea anasema nitakutafuta muda ukifika.

Sasa kauli zake zinanichanganya ni mwezi mmoja sasa toka itokee.

Tafadhali kwa aliyewahi kukumbana na hili naomba ushauri wako.

Naomba usinikejeli kwa lolote kama hujaona cha kunishauri pita kimya....
nenda kapime kwanza
 
1[emoji117]Demu anajama wake ( kaolewa) alijua labda utamtomba vzuriiiii ...mwisho akakuta Wee ni ovyo, ni bora abaki kutulia najamaa wake.

2[emoji117]Kwa uzuri ulouelezea hapa, je ni wangapi waliopita kwake?? Kadiri dem anavyokua pini ndivo anavyotongozwa sana nandivo anavyopigwa mashine sanaa na ndivo idadi ya wanaume inaongezeka na ndivo anavyojiweka kwa hatari ya Umeme.

Tukichukulia kama Ana Umeme, lazima atakua anajijua, na atakua kwa Dawa, nahii inapunguza nafasi ya yeye kuambukiza.

Kwa iyo anaweza kua anagawa K, akidhan anagawa umeme, kumbe anaotesha sugu K yake tu.[emoji23]

Acha kujipa mawazo, Uko poa, endelea na mishe zako Jomba .
 
"Eee rafiki,nenda sipitali ikapime ile kitu inafanya mutu kula mbaasi"..In Maasai ascent
 
Imagine ungekua wew ndio yeye...ni nini kingefanya usirud kwa mtu ambae umekutana nae mara1.

Utapata jibu
 
Ha ha ha labda huna ashki .. au ulikuwa unaongea sana maneno Vitendo hamuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom