Hufai kupewa kazi yeyote kwa sababu huheshimu mipaka ya kazi yako.
Knowledge uliyopewa juu ya architecture, na quantity surveyor, haifanyi wewe kuwa mtaalam wa maeneo hayo bali ni kuwaunganisha ili muweze kuwasiliana na kuelewana.
Mfano
Daktari wa binadamu hufundishwa namna ya kufanya
1. vipimo vya maabara,
2. kuagiza, kutunza na kugawa dawa kwa wagonjwa na kuchoma hata sindano.
3. Kuweka drip kwa wagonjwa.
4 kuzalisha
Haya majukumu kuna watu husika ( manesi na wafamasia) ambapo dunia kwa pamoja iliona wanafaa ili yaweze kutekelezwa na kupunguza dosari zilizokuwa zikijitokeza hapo awali wakati yanafanywa na mtu mmoja kama wewe unavyotudanganya.
Waliosema tuwe na
1. Fundi sanifu wa majengo
2. Wakadriaji majenzi
3. Engeener
They were not wrong.