Ladies mkuje hapa tuseme jambo

Ladies mkuje hapa tuseme jambo

Hope mko poa

Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula.

Lakini kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri ni nin kinafanya wanawake wengi waikatae hii Hali?

Dear ladies Why can't you share your man?
Mimi nitafanya unafki mwingine ila unafki wakujifanya nampenda mwanamke anayependwa na mume wangu siuwezi.
 
Sisi wanaume hatunaga shida, shida mnayo nyie wanawaje...

Ngoja waje kukuambia kwa nini hawapendi kushare...



Cc: mahondaw
 
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
[emoji38][emoji38][emoji38]
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Sababu zipo mbili.

01. Dini zote kubwa zinakubaliana kua Mwanamke alikuja kumpa faraja na usaidizi Mwanaume. Kwa maana ingine mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na Mume hujisikia fahari kua na mapambo mengi.

02. Mwanamke ndo chanzo cha uzazi na kuendeleza ukoo, hivyo lazima ujue unaongeza ukoo upi maana kuna ishu za mirathi, nk. Ndio maana ukiacha na mke wako leo, lazima akae eda kabla ya kuolewa ili kuangalia ujauzito. Mume anaacha asbh anaoa jioni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom