Recent content by JW1984

  1. JW1984

    Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

    Ukisikia uza nyumba weka heshima baa basi ndo namna hiyo. Heshima ina njia zake
  2. JW1984

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii inawezekana Tanzania tu tena kwa shabiki asiyejua historia ya EPL Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. JW1984

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Yep iTunes ni site ambayo wasanii kibao huuzia singles & albums zao so ukiwa nayo kwenye simu inakupa nafasi ya kununua music ingawa mimi sijawahi kuitumia
  4. JW1984

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    iTunes ni special kwa ajili ya ku-synchronize na ku-create backup ya iPhone yako kwenye PC. Kwa kufanya synchronization unaweza kuingiza music au video kwenye iPhone kutoka kwenye PC na pia unaweza ku-delete music na video kwenye iPhone
  5. JW1984

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. JW1984

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Fernandinho na Bernado Silva walianza
  7. JW1984

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Yerry Mina kaenda jumla, Andre Gomes ndo on loan terms
  8. JW1984

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tuanzebe kaondoka OT kwa mkopo
  9. JW1984

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Lucas Torreira Huyu mtu akuje
  10. JW1984

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hivi kati ya Man City na Liverpool nani ana uzoefu mkubwa UCL?
  11. JW1984

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    30 Unbeaten Run this season 37 Unbeaten Run inajumuisha na game za last season
  12. JW1984

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    90+4 Vitolo kala umeme
  13. JW1984

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Tayari kafa Villarreal 2-1 ATM 90+2
  14. JW1984

    Somo zuri: Tuthamini utu na heshima kwa mkubwa na mdogo tusiishi kwa mazoea

    Nimeikuta group la Whatsapp (simjui mwandishi) lakini story hii ina mengi ya kujifunza. ___________________ Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Chamwino shukia St.Gaspar. Unashuka stendi unamkuta...
Back
Top Bottom