Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,343
- 13,864
majirani habari za asubuhi......sorry za jioni
Juzi ulipigwa 2-0 na City kwenye community shield..Wewe pre season ulicheza vizuri sana ...uko nyumbani unashindwa kumfunga man city?
Uyo manywele wenu Mara kumi ata na fellain wa man u..
Kwa mpira wenu wa kizembe ivyo jumamosi nakupiga tatu kavu.
Nilikuwa na nyie leo ila mmezingua sana.
Huu msimu nakupiga Wewe na man City nje ndani.
Au sio
Hivi haujagundua kuwa ile mechi ya Round ya pili Kiungo cha Liverpool kilikuwa kibovu ndio maana mkashinda napo goli moja, kikosi unachosema utampiga Man City nje ndani Center Forward ni Morata!

Watani mbona hii imeanza mapema sana. View attachment 834034
Haa haaa haa acha tu mkuu huyo morata😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hatari sana mkali wangu. Huyo Morata Sub yake ni Giroud ambapo huyo Giroud kaanza mechi zote za World Cup tokea Makundi hadi fainali na hajafunga goli hata moja na ni namba tisa.
Uzuri ni kwamba Chelsea haitegemei foward ili kupata ushindi. Sio nyie akiumia Mo salah basi timu nzima inanywea (refer final uefa) sisi kila mchezaji ni mfungaji mkuu. Asipokufunga Willian atakufunga Hazard. Sasa iv hadi Kante Ngolo anatupia tu kwa iyo mkuu wee September jiandae kisaikolojia.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hatari sana mkali wangu. Huyo Morata Sub yake ni Giroud ambapo huyo Giroud kaanza mechi zote za World Cup tokea Makundi hadi fainali na hajafunga goli hata moja na ni namba tisa.
Kikosi changu kilikuwa hajikamilika.Juzi ulipigwa 2-0 na City kwenye community shield..
Kikosi changu kilikuwa hajikamilika.
Man City kwani Walikamilika? Hujui Kama ulifungwa na Kikosi B cha Man City?
De Bruyne, Fernandinho, Silva, Otamendi, Sane, Jesus hawa wote Hawakuanza.
Uzuri ni kwamba Chelsea haitegemei foward ili kupata ushindi. Sio nyie akiumia Mo salah basi timu nzima inanywea (refer final uefa) sisi kila mchezaji ni mfungaji mkuu. Asipokufunga Willian atakufunga Hazard. Sasa iv hadi Kante Ngolo anatupia tu kwa iyo mkuu wee September jiandae kisaikolojia.
Usije ukadhani tunategemea mchezaji mmoja kama nyie.
Uzuri hadi beki za Chelsea zinafunga ..Alonso, Rugider, Azp ..

Haa haaa haa acha tu mkuu huyo morata
Mwenyewe kuna wakat wanaona Bora hata giroud
Fernandinho na Bernado Silva walianza