Sipati picha nikikutana na mashetani wekundu ntakachowafanyia.
Nadhani watapata tabu sana.
Sipati picha nikikutana na mashetani wekundu ntakachowafanyia.
Nadhani watapata tabu sana.
Nasema atapata tabu sana.Tuanzebe anakusubiri pale Old Trafford
Ukiangalia pale nyuma beki zangu ziko safi viungo wa dunia wapo akina miki,tshaka,toleira kule pembeni yupo ozili hapa kati wametulia Abu na lacazate Ramsey amewachambua beki na viungo wa man mpira umemgonga smalling kwenye ugoko ukarudi hadi kati ya uwanja umekutana na kiungo tshaka kwa mguu wa kushoto ameachia mashine kimo cha tembo unagonga mwamba umerudi ndani awash Lacazate anaumalizia kwa kichwa.Tuanzebe anakusubiri pale Old Trafford
Hahahaaa mkuu umetisha sana.Ukiangalia pale nyuma beki zangu ziko safi viungo wa dunia wapo akina miki,tshaka,toleira kule pembeni yupo ozili hapa kati wametulia Abu na lacazate Ramsey amewachambua beki na viungo wa man mpira umemgonga smalling kwenye ugoko ukarudi hadi kati ya uwanja umekutana na kiungo tshaka kwa mguu wa kushoto ameachia mashine kimo cha tembo unagonga mwamba umerudi ndani awash Lacazate anaumalizia kwa kichwa.
Goli ni moja bila the gunners take a lead over man u lakn kwa bahati mbaya jopo la madaktari wamemzunguka golikipa Degea aliyekunjuka akihangaika kuokoa shuti la tshaka.
My lord Degea hawezi kuendelea pale golini anaonekana kuumia sana. Beki ya man inaonekana kukosa uelewano kutokana na mashambulizi ya foward ya arsenal ambao hawatabiriki yeyote anakufunga. Mabeki wamemganda sana Abu na Lacazate huku wakiwacha viungo wakijichezea.
Namuona Sanchez akicheza mpira wa umimi.Samahani siyo kweli nimelala naota. Watapata tabu sana.
Tuanzebe anakusubiri pale Old Trafford
Bora ameondolewa asije akakutana na mziki wa jeshi.Hahahaaa mkuu umetisha sana.
Mhhh yajayo yanastaabishaArsenal's majority shareholder,
Stan Kroenke, has made an offer
to buy the whole of the club in a
deal that would value the
Gunners at £1.8bn. The American billionaire owns 67% of
Arsenal through his company KSE,
which says Alisher Usmanov has
agreed to sell his 30% stake in the
club. The buy-out announcement was made
to the London Stock exchange on
Tuesday. Kroenke believes taking the club
private will help the club achieve
success.
Arsenal's majority shareholder,
Stan Kroenke, has made an offer
to buy the whole of the club in a
deal that would value the
Gunners at £1.8bn. The American billionaire owns 67% of
Arsenal through his company KSE,
which says Alisher Usmanov has
agreed to sell his 30% stake in the
club. The buy-out announcement was made
to the London Stock exchange on
Tuesday. Kroenke believes taking the club
private will help the club achieve
success.
Naona group lipo kimya sanaView attachment 828018
Yupo social na muda wote anabatasamu tu (smile) hahahaaaNampenda sana huyu jamaa,siwezi kusubiri kuyaona mavitu yake na Guendouzi.
COYG 🥂
Watu mtalalama mtalia lakini kumbukeni soka ni biashara na lengo la biashara ni kupata faida. Jamaa hajawekeza fedha zote hizo kukufurahisha wewe au mimi kwanza. Ameona kuna FAIDA atakayopata. Faida hiyo iwe kimanufaa uwanjani au dukani yeye hatojali sana. Anachoangalia ni Faida. Case in point angalia Manchester United owners wanatengeneza faida. Stan akichoka au akiona alichotegemea hakipatikani ktk muda aliotarajia atamuuzia mwingine na mwingine atamuuzia mwingine. Kumbukeni hizi timu hazijaanza kuwa za kibiashara miaka ya jana au juzi. Muda wa sisi kajamba nani kuwa stressed kwa nani anayewekeza mamilioni or bilioni ufe au usher. Tufuatilie soka mambo ya administration tuwaachie wenyewe sababu sio wengi hapa tunaoweza kununua share hata 10 endapo Kroenke akiweka timu ktk stock market jambo ambalo lipo mbioni kuja baada ya hii purchase. Lingine angalia Usmanov alivyokubali kitita. Unadhani isingekuwa kuona maslahi angeuza shares? Usmanov kama walivyo investors wengine wanaangalia faida tu sio mapenzi before business. Kama unavyojua kesho Usmanov atainunua Everton ili atengeneze pesa zake na kuwa na toy just like Kroenke, Abramovich etc.Duh naona kaburi limechimbwa na rasmi Arsenal inaenda kuzikwa uyu mwehu Kroenke anaangalia tu faida habari za mataji hajawahi kuwaza.