Sidhani kama ww uko fare, kwaiyo ulitaka wafrahie wanapo ona matlaba kila sehem? Angalia aina ya ubadhilifu ulio fanywa serikalini, vipi kuhusu endess increasing of inflation,safari hata zisizo na tija, saivi kila kiongozi ni kupishana airport wakati wananchi wana kila aina ya matatizo na ni...