Recent content by Junior Nicky

  1. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Nilipofukuzwa kazini 2017, nilipitia nyakati ngumu sana isitoshe naondolewa hapo kazini nina mwezi moja baada ya mimi kufunga ndoa, niliyaishi maisha ya msoto kwa takribani miaka 4,nimejifunza mengi na niliona rangi halisi ya wanaonizunguka, ila namshukuru Mungu alinipa subra na uvumilivu,kwa...
  2. Junior Nicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    Wanaume kibao wananitongoza hii kauli huwa sipendi kuisikia toka kwao ila basi tu.
  3. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Sukari ni bidhaa iliyoadimika sokoni leo

    Hii nchi sometimes inahuzunisha, hata sukari ni tatizo lenye kuchukua muda mwingi kulitatua kwake.....kwenye vitu kama hivi ndo tunapima uweledi na uwajibikaji wa viongozi wetu.
  4. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuzivuka changamoto na magumu uliyopitia maishani?

    Njia pekee ni SUBRA na kumuomba MUNGU kwenye kila jambo unaloliendea.
  5. Junior Nicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

    Uzinifu huanza na mwanamke...Acha waendelea kuvunja ndoa..... Kuoa mwanamke mwenye makalio makubwa na chuchu saa sita ni kujipa tatizo la shinikizo la damu.....acha tuoe hawa viswaswadu
  6. Junior Nicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amekataa kabisa kufanya ngono nami

    Hayo ndo mawazo ya kiume....ingawa ningelikuwa mimi nisingelifikia huku kwenye kuomba ushauri...ningepiga kimya tu au ningempa makavu...mambo yangeishia hapo hapo. Mambo ya uvumilivu awaachie wanandoa huko.
  7. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Kilimo cha mihogo

    Nilijaribu kulima kipindi cha 2018/19, ijapokuwa sikuwa na idea nayo ila kutokana na muongozo wa mawili matatu kwa watu nilibahatika kulima kama ekari 3.5, Mimi nililimia kibiti maeneo ya PAGAE MCHANGANUO WAKE *Kuandaa shamba ilikuwa 50k kwa ekari moja *kupanda 30k kwa ekari,kipindi cha...
  8. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnaenda kulewa wakati msiba unaendelea?

    Kwa upande wangu nadhani si jambo sahihi.....kifo ni UKUMBUSHO kwa sisi tuliobaki hapa dunia juu ya kutathimini matendo yetu. Aliyekufaa alikuwa kama sisi tulio hai. TUKUMBUKE HILO.
  9. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini familia ya Mzee Kikwete kila biashara chafu wanahusishwa?

    Tanzania tunapenda mambo ya UNAFIQ na UZANDIKI, hakuna mwenye ithibati juu ya hayo lkn tunakuwa wakwanza kunyoosheana vidole....Acha mange atupige pesa.
  10. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Hakuna mwenye tuzo au kombe la mapenzi, tuache matumizi ya Viagra kwa ajili ya maisha yetu na afya zetu Kwa ujumla
  11. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Fundi TV anapatikana hapa

    Mkuu kubadili kioo ya LG inchi 47 ina gharimu kiasi gani?
  12. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Aibu naona mimi aiseeee.
  13. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    [emoji3][emoji3][emoji3]...wanaitaga batiki
  14. Junior Nicky

    JamiiForums Tanzania Utajiri ndani ya kilimo cha nanasi Kiwangwa

    Mzee uliposema misani umenikumbusha mbali sana aisee nilikuwepo kama mwanafunzi wa sekondari ya Kiwangwa 2005-2008 kiukweli Kiwangwa imebarikiwa sana. Nitakuja kuwekeza hapo one day...Mungu aniongoze katika hilo.
  15. Junior Nicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Alafu nilitaka kumuulizia huyu manzi, alikuwa na mitikasi mingi ya biashara ya dhahabu huko migodini kumbe mjasiriamali fake [emoji3][emoji3][emoji3] aisee
Back
Top Bottom