Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 607
- 594
Wanaume kibao wananitongoza hii kauli huwa sipendi kuisikia toka kwao ila basi tu.
Hahaha.....unaangalia na mtu mwenyewe.....kuna wengine ni kweli kutokana na mwonekano wao.Wanaume kibao wananitongoza hii kauli huwa sipendi kuisikia toka kwao ila basi tu.