Umeme wakatika wakati wanafunzi wakifanya mtihani.Ilikuwaa yapata saa 1:30pm hivi toka mtihan uanze na kuisha ilikuwa ni saa 2:00pm.Hivy Utawala ukatoa tamko kuwa mitihan ikusanywe hata kam mwanafunz hajamaliza kujibu maswali yote!Hii ni aibu kubwa kwa chuo kikubwa kina hicho kukosa Generetar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.