Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

Bora wamkatalie asijiuzulu; wambembeleze saaaaaana halafu aje na kusema ameombwa na ameamua kuendelea na Ubunge. CCM Juu?
 
Unajua Kikwete ni kama mzazi, ambaye peke yake ndiye mwenye uchungu wa mwana. Duniani hakuna mzazi anayechekelea kifo cha mtoto wake, isitoshe Rostam amekuwa msaada mkubwa sana kwa chama. Bila shaka kujiuzulu kwake kutaleta pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

a AAH MURAA UMEAMKA? USIPITIE PALE DISPENSARY YA BUNGE KUPATA PIRITON UTALALA TENA BUNGENI.
 
Acha danganya watu wewe......lowasa hakukishauri chama ameishauri serikali.......sasa maamuz magumu gani ya serikali dhid ya rost-HAMU
Sawa! lkn watu ni walewale, kwani effects za Rost HAMU hazitokei serikalini?
 
..ninafikiri mh. Rais Kikwete anstahili kupewa pole maana katika awamu ya kwanza ya utawala wake alimpoteza rafiki yake E Lowassa....na sasa katika awamu yake ya pili amempoteza tena rafiki yake Rostam Aziz
 
Lazima asikitike! Mlitakata afurahi?

Nilidhani ni bichwa tu ndo liko vile, kumbe na kile lilichobebwa ndani yake nacho shagalabagala.

avatar23356_4.gif

Hakika alitakiwa afurahi kulivua gamba. Wakati wa Kampeni 2010, Rostam ni kama timu ya mpira.....ameenea kila sehemu, April 2011 lazima tuyavue magamba haya (RA, EL na AC), July 2011 nameshtushwa na kusikitishwa na uamuzi wa RA kujiuzuru. What a hell is this....
 
Hivi nyie mlifikiri kujivua gamba CCM walimaanisha hizo zilikuwa gimmick politics

Msiwe mnawaamini sana hawa CCM ona Kikwete aliyeanzisha kujivua gamba leo anajifanya kusikitika

Ona Lowassa aliyesema kufanya maamuzi magumu anavyomshangaa RA aliyefanya maamuzi magumu

Niliipenda sana CCM lakini wakati ule ikiwa real CCM lakini sasa ni usanii tupu hawafai wale.
 
yeye anasikitika kuachia ubunge maana wao walimaanisha kuachia vyeo vya ccm tu

Kwa hiyo alitaka aachie ndani ya CCM ili kutuzuga wabongo lala, anyway kaamua kufanya kweli. Kifo cha nyani miti huteleza... sasa kila wanalolidandia CCM linakuwa ndio hatua muhimu kuelekea kwenye umauti wao.

Kicdumu chama cha mapinduzi!!!
 
CCM is endowed with a huge number of renowned and experienced politicians. Rostam was merely a drop in a bucket, and Kikwete will never mourn his abdication. CCM is a well-established institution as opposed to CHADEMA which looks like an NGO.
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
Kuna shida gani ya kucopy na kupaste hapa hilo gazeti ili tusome wenyewe? huu sio utaratibu wa kupeana habari zilizoandikwa kwnye magazeti hapa JF.
Otherwise hii thread mimi naiita holy crap!
 
Kuna shida gani ya kucopy na kupaste hapa hilo gazeti ili tusome wenyewe? huu sio utaratibu wa kupeana habari zilizoandikwa kwnye magazeti hapa JF.
Otherwise hii thread mimi naiita holy crap!
Unasubiri nani akununulie gazeti then a paste ili usome katafute mwenyewe.
 
Unasubiri nani akununulie gazeti then a paste ili usome katafute mwenyewe.

Mkuu na wewe tabia za kikasuku umenza lini? mimi magazeti yote makini huwa naanza kuyasoma online usiku kabla hayajaletwa mtaani, ndio maana hii habari naona kama ni ya kusadikika.
 
Mnafiki huyo kwani wewe hufahamu pindi lowassa anajiudhulu alitoa kauli kama hizo wakati kwenye vikao vya chama vya kumshinikidha lowassa ajiudhulu alihudhulia.

Hivi ni mimi ndiye sifahamu kiswahili au ndugu yangu Luiz umepitiwa? Naomba unielimisha ulikuwa una maana gani kwenye hayo maneno niliyokoleza rangi nyeusi
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?

Kwa magazeti machache niliyopitia leo sijaona hii habari. Isije ikawa unapima upepo kwa niaba ya Mkulu ili ajue upepo utakuwaje akitoa msimamo unaofanana na huo.
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
Mnafiki.
 
Hivi ni mimi ndiye sifahamu kiswahili au ndugu yangu Luiz umepitiwa? Naomba unielimisha ulikuwa una maana gani kwenye hayo maneno niliyokoleza rangi nyeusi
Peleka usharobaro kule kwenye jukwaa la lugha na kama unajiona wewe ni mahiri wa lunga nenda kaombe kazi TUKI, hapa kinachotakiwa ni content ya story.
 
Back
Top Bottom