Zitto Kabwe arejea

Zitto Kabwe arejea

this time you should be very carefully na hao washikaji zako wa ccm, they dont want you, they will kill you.

Absolutely, Zitto take this advice seriously, nina hakika umeuona ukoma wa mwakyembe
 
Ni muda kidogo toka nimesikia amerudi kutoka india ila babo sijasikia anaendeleaje.,zaidi kutoka kwa uongozi wa CDM.
 
Ni muda kidogo toka nimesikia amerudi kutoka india ila babo sijasikia anaendeleaje.,zaidi kutoka kwa uongozi wa CDM.
.........kitendo cha kuruhusiwa hospitalini na kurudi kinaonesha anaendelea vizuri;
 
Huyu atakuwa Mwanamagamba...Wepesi wa Kukasirika, Pumba Nyingi na udaku kibao!
 
Tunashukuru kama karudi salama. Apone haraka arudi kazini.
 
Mbona alivyorudi alizungumza na kueleza kwamba amepona kabisa isipokuwa anahitaji muda wa kutosha apumzike.
 
Bro Zitto kumbuka kutoa sadaka yako ya shukurani kwa Mungu kwani usidhani ilikuwa tu kawaida if I could tell you what Isaw Mungu mwenyewe akufungue macho yako upate kuona what was to happen. Pia uelewe kuwa hii miracle ya uponyaji ni kwasababu you have a lot to do kuwasaidia watanzania, ukiamua kuwa vuguvugu Mungu ata kutapika. Muhubiri nimetimiza wajibu wangu ime baki will yako na ukikaza kumtumikia Mungu kupitia watu wake utakula mema ya nchi
 
Mhe. Zitto pata muda wa kupumzika kabla hujaanza harakati za kutatua masuala mbalimbali yanayozidi kwenda tenge katika nchi hii yakiwemo ya kiuchumi, kisiasa (mabadiliko ya katiba) n.k.
 
Back
Top Bottom