Transfoma ya TANESCO yaungua leo

bpouz

Member
May 26, 2008
38
9
habar zenu wanA jamii leo maeneo ya kariakoo,karume,temeke,ilala maeneo ya jiran umeme umekatika leo saa3 hasubuh kutokana na tatizo la kuungua kwa transfoma katika kituo cha sub station cha ilala mchikichin na mafund wanaendelea na jitihada za kunuru balaa hili la kulala bila umeme kwa mujibu wa taarifa hzo inawezekana umeme usiwepo kwa cku mbili au zaid km jitihada zitashindikana mwenye information zaid atupe data
 
Duh! Hadi TBL? pole sana maana umeshapatwa na hofu ila tatizo likiwazidi hawachelewi kwenda kuzima lililo nje ya mji waje wawashe hilo ili mjini wanufaike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom