Viungo bandia vya siri vya vyauzwa kama njugu Dar

unataka kuleta wewe leta tu. Wenzio hawaulizi.....
rubk2w.jpg
aiseee hii inaweza kupita ikulu kweli jamani,si itaharibu haribu barabara....mhh
 
Wenye ugonjwa wa akili ndio wanazihitaji hizo na huwasaidia kwa kiasi fulani kutuliza akili. Cha ajabu ni kwamba hata wazima wametokwa na akili nao wanataka kujaribu kuzitumia; mwisho tunakuwa na kizazi cha vichaa watupu. mungu apishe mbali.
 
Astakaflulahi!!! weshenzi hawa!!!!! mwinyenzi mungu awape rehma waache haya maovu, watulie inshalah huenda wakapata waume wakuaminika!!!!!
 
Mbona nyumba za kulala wageni kutwa zinajaa wenyeji hamsemi?au kuna uovu mzuri na uovu mbaya unafiki utatumaliza.
 
Back
Top Bottom