Haki za binaadam walivyo waharibu wanafunzi mashuleni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki za binaadam walivyo waharibu wanafunzi mashuleni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yasser5, Mar 24, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweri dunia imebadirika lkn mabadiliko hayo yasipo zingati mfumo mzima wa maisha yetu mwisho wa siku atakosena nani wa kulaumiwa means too lait
  nakumbuka zamani mim nilikuwa nikibishana na kaka yangu au dada yangu mkubwa kama baba akiniona mim ndo nachapwa bila kuangalia nani kaanza kwa mantiki ya kwamba mkubwa aheshimiwe na mwisho wa siku heshima ina rudi na hamna majadiliano ya kwa nin nimeadhibiwa means i cnt question dudy siku hiyo inakuwa imekula kwangu

  leo nimeshuhudia baba mmoja akitoka kazini kisa mtoto kachapwa shuleni baba anaenda shuleni kulianzisha
  haki za binadam mnatupeleka wapi tuna zalisha watoto na taifa lenye nidham gani?
   
 2. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Shule za Tanzania kweli zimezidi sana kuwaadhibu watoto wadogo kwa kuwachapa na kuwapa adhabu kali sana, kuna shule moja huko mkoa wa singida watoto walikuwa wanakandamiziwa mikono yao katika miba (Kosa eti hawakufanya vizuri home work). Pia kuna shule ingine huko Igunga mwalimu alikuwa anawachapa watoto mpaka wanachanika ****** yao. Walimu kama hawa lazima wastomishwe na wahukumiwe lazivyo wataharibu akili za watoto, ndio maana Tanzania haina maendeleo yeyote (watoto wanaharibiwa akili zao tokea shule ya vidudu).

  Mtoto anapigwa vibaya sana na hali bado yupo shule ya vidudu (chipukizi)!!! Inasikitisha sana.
   
 3. J

  JUNGU MTU Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure ka mkubwa
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kweri=kweli
  dudy= dady?
  Badirika=badilika
  mashureni=mashuleni
  lait=late?

  Ndo utandawazi huo...wengine wanapohamasisha kupigwa marufuku viboko wanapata ulaji. Ingawa kwa case hiyo sidhani kama wanaharakati wana la kulaumiwa, mzazi mtoto ameadhibiwa badala ya kumshukuru mwl unaenda kumkaripia mwalimu? Hapo kosa la mzazi, enzi zetu ukicharazwa bakora shule huthubutu kusema nyumbani maana utaongezewa mikwaju, unless mwalimu amekupiga kupitiliza...
   
 5. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  BADILI TABIA hivyo hivyo husiache kufanya masahihisho kama hayo hapo juu, itafika kipindi sasa irabu hazitumiki tena.Hongera sana nap pia hata kama ni mimi usiache kunisahihisha..SORY KWA KUBADILISHA MADA ILA NDIO JF!
   
 6. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  BADILI TABIA hivyo hivyo husiache kufanya masahihisho kama hayo hapo juu, itafika kipindi sasa irabu hazitumiki tena.Hongera sana nap pia hata kama ni mimi usiache kunisahihisha..SORY KWA KUBADILISHA MADA ILA NDIO JF!
   
 7. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  unatakiwa uwe na uhakika ya uyasemayo sio kusimuliwa juzi tu hapa nimeshuhudia mtoto kachapwa viboko viwili kwa fimbo ya kawaida yeye kakimbia kuleta mzazi eti kachapwa na mwiba wazazi wasipokuwa waangalifu watapoteza mwelekeo wa watoto wao.mzazi akiitwa kuangalia maendeleo ya mtoto wake shule anasema yupo busy itokee mtoto kachapwa ubusy unaisha sasa tunazalisha taifa lipi?
   
 8. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Wakuu, mazingira ya kwetu ni tofauti mno na mataifa yaliyoendelea. Asilimia kubwa ya watoto wetu hulelewa na mitaa. Halafu tunataka wawe na tabia za watoto waliolelewa na wazazi! Kwetu sisi bakora ni must.
   
Loading...