Kama ni family planning basi watoto hutakiwa wapishani miaka 3 sasa khofu ya nini? ukimjaza sasa hivi basi watapishana zaidi ya miaka 3.5 huyo mama yuko right mpige bao jengine usiogope gharama kila mja ana rizki yake
Sikubaliani na wewe dogo uchumba wa muda mrefu sio mzuri mara nyingi huishia kubwagana pengine kwa sasa una msukumo zaidi wa hamu ya kufanya mapenzi zaidi ya ndoa jaribu kulidhibiti hilo na komalia kitabu haya mambo yapo tu
Kula kona ndugu hakufai mwaka tu tayari keshabebeshwa halafu mbebeshaji yupo ofisi moja na pengine ana mshiko unaoeleweka usisubiri maumivu yajayo haya yanatosha msahau na ng'ang'anaa na kitabu kwanza mpaka kieleweke vyenginevyo utakosa yote
Ni uamuzi mzuri nami nakushauri usile mzigo mpaka baada ya ndoa jambo hilo litakujengea heshima zaidi kwake na kuonyesha kuwa wewe si mtu wa papara kitu ambacho naamini ndivyo ulivyo.Mwezi wa 12 sio mbali ndugu haina haja ya haraka ya tendo hilo madhali mshaamua kuoana. Pia msisahau kupima. Kila...
Hilo ni tatizo la utawala mbovu inakuwaje kuchukua hatua bila utafiti? kesho na keshokutwa mtamsingizia Mhadhiri mwengine anataka kubaka mwenzenu. Kwa namna hii elimu ta Tanzania itafika kweli? ikiwa kizazi cha wasomi kiko hivyo jee kikiingia mtaani si itakuwa kuendeleza majungu tu! Hakuna wenye...
Jitahidi kuacha zinaa kijana unayapa muelekeo mbaya maisha yako ya ndoa ambayo bado ni changa. Kwanini usiongeze wakati ruhsa ipo? Kinyume na hapo itakuwa ni ufisadi Mungu akuongoze kuacha mambo hayo
Siyo wote wanaobaleghe huwa wanaweza majukumu ya ndoa kwa sababu mbali mbali. Kwa hiyo ni muhimu watu wabaleghe kwanza wajiandae na mabadiliko hayo ya kimwili baada ya muda watajipima kama wanaweza kuingia kwenye majukumu ya ndoa. Qualification ya ndoa lazima uwe baleghe Mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.