Kama iko hivi ! Iweje iwe vile ?

Kama iko hivi ! Iweje iwe vile ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wana wa bodi, habari zenyu.
Ni hivi recently nilishusha hoja hapa jamvi, but haikupatiwa enough results.
Leo nimejiongeza niilete kama hoja "specific"
Kwakua nilipoileta awali nilikua nimeichanganya na vitu vingine.
Nilitaka kujua kwamba :-
Ikiwa jamii (si hapa tu Tanzania, takriban kidunia) inachukulia tendo la ku'sex kabla ya ndoa si kitu kinachokubalika. Ikaenda mbali zaidi na kuitwa ZINAA, kwingineko ikaitwa MAPENZI YASIYO RASMI, sometimes NGONO NZEMBE n.k n.k
Nachotaka kujua kama hivi ndiyo ndivyo, ikawaje biologia ikatubalehesha kabla ya ndoa ?
Ilhali hakuna atakaenibishia kwamba , mara tukishabalehe demand ya ku'sex being available ?
Nawasilisha.
 
Kwahiyo shem ulitaka uoe kwanza ndio ubalehe? Mi naona hayo mapitio tu, mbona sometimes tunak.u.nya kabla ya kula na hushangai!
 
Kwahiyo shem ulitaka uoe kwanza ndio ubalehe? Mi naona hayo mapitio tu, mbona sometimes tunak.u.nya kabla ya kula na hushangai!

Shem Catty!
Sina hakika kama utakua umenikidhia jibu mahsusi.
Mf. Uliyonipa unafanana na ingekua tunakula dawa kwanza tuumwapo, then ukafata ugonjwa uliokwishaulia dawa!
Tuendapo w.c kisha tukala chakula it means una dischurge transaction iliyokwishafanyika nna maana haiwezekani binadamu akenda toilet ikiwa hapo kabla yake hajala !
Hapa nna maana methods ingekua tunabalehe siku ya ndoa.
Na maadamu nikisemacho (yaani kua hivyo) ni kitu kisichowezekana basi tendo la ku'sex society ingelipa baraka zote hata kabla ya ndoa!
Unasemaje ?
 
Biology imekubalehesha? kivipi mkuu?

Forexample! Nikiambiwa niandike biography ya YM sidhani kama itatikidhi if niwe sijamueleze YM gender yake, age n.k.
Naposemea biology inabalehesha naamini kwamba human's organs body changes pertaining for growth, biology inahusika.
 
Hizi mambo zilianzana na dini, afu si unajua Mungu haulizwi maswali mob joh?
 
Forexample! Nikiambiwa niandike biography ya YM sidhani kama itatikidhi if niwe sijamueleze YM gender yake, age n.k.
Naposemea biology inabalehesha naamini kwamba human's organs body changes pertaining for growth, biology inahusika.

Is it nature ndio inabalehesha au biology? Maana kwa ufahamu wangu Biologyis the study of living things and not a tool for kubalehesha.
 
Is it nature ndio inabalehesha au biology? Maana kwa ufahamu wangu Biologyis the study of living things and not a tool for kubalehesha.

It's hardwork to differentiet between natural & biology!
Nasema hivyo kwa sababu so many years past Scientists and Researchers have been tryin to develope a way how human organs grown up.
Na haiwezekani kufanya hayo as if huto'deal na living/none things ambavyo ndiyo vyenye factors za kuitwa Natural things.
Biography is to analyse and write your or someone's life, from birth to death .
Na pia this terms included an accounts of series of events making up a person's life, ambapo kubalehe kunahusika.
Au hapa we unaonaje ? If am in wron view tell me .
 
Siyo wote wanaobaleghe huwa wanaweza majukumu ya ndoa kwa sababu mbali mbali. Kwa hiyo ni muhimu watu wabaleghe kwanza wajiandae na mabadiliko hayo ya kimwili baada ya muda watajipima kama wanaweza kuingia kwenye majukumu ya ndoa. Qualification ya ndoa lazima uwe baleghe Mkuu.
 
iko hivi.....wewe unajua kabisa....ili ummiliki mbuzi....inatakiwa umuone.....umpende.....na umnunue.....hutaelewa pale unapoletewa mmbuzi upo kwenye gunia unaambiwa uununue bila kuuona.....
sasa ndio hivyo....huyo aliyesema tusishake well b4 use ni kilaza.....
 
Kwa mara nyingine nitambue uwepo wako hapa!
Napia nitamke, naipendaje hii mashake well bifoo yuzi !
 
ninachofahamu mimi kama mimi ni lazima uingie katika mabadiliko ya kutoka utoto kwenda ujana,vile vitu huwezi tamani ukiwa mtoto labda uwe na mapepo,utatamanije kitu wakati huna hisia?af wanaosema kufanya mapenzi nje ya ndoa ni zinaa,uzinzi,uasherati,umalaya wanasababu zao na hawajakurupuka japo huwa napingana nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom