Kuumwa mgongo kwa mjamzito- dawa yake ni ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuumwa mgongo kwa mjamzito- dawa yake ni ipi?

Discussion in 'JF Doctor' started by MAKOLE, Aug 14, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nawauliza wataalamu wa masuala ya ujauzito, mwanamke mjamzito wamimba ya kwanza yenye mwezi mmoja anapoumwa na mgongo anapaswa kutumia dawa gani?

  wasalaam
   
 2. j

  jumalesso Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upate massage tu dada hamna zaidi na pia punguza kukaa sana kwenye viti ambapo hupati flexibility ya kuegemea vizuri
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Shika kwenye mgongo wako, kemea hilo pepo likuache! basi
   
 4. health

  health JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kuhusu kuumwa mgongo siyo kwa mjamzito pekee bali hata kwa wengine wapo wanaosumbuliwa kwa maumivu ya mgongo. Hapa unaweza kuniandikia kwenye email ishealthy@hotmail.com ili niweze kukupa ushauri wa kiafya zaidi
   
Loading...