Anata kujiwa sababu ni penzi

mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
511
Likes
83
Points
45
Age
34
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
511 83 45
Habari waungwana.
Kwa kweli kuna msichana nilianzisha mahusiano naye akiwa darasa la 7 nami nilikua nimeshamaliza shule najishuhulisha na vijikazi kwa kweli nilikua na lengo la kumuowa huyu binti ila kikwazo ni kua alikua anasoma na kiumri ni mdogo sana.

Sikutaka kumuharibia maisha yake kwa kumtoa bikra kwani nilijua kua ndio hazina na thamani yake ila alipoona kua sitaki kufanya nae mapenzi na mida wote namuhimiza kusoma aliniona si wa thamani na kunizarau kila siku nyodo zikawa nyingi na matusi ya rejareja tusi la mwisho akanambia jongoo hapandi mtungi hili liliniuma zaid ya sana nikashindwa kulivumilia.

Nikaamua kumlipia twisheni ili nimpate atakavyo liliniuma lile tusi baada ya mm kumuonea imani asome akona si wa mana ni kajipanga kuvunja hazina kumvunja mdomo wake na zarau haikuniwia vigumu ilikua kma kumsukuma mlevi katika mlima wa kilimanjaro nilipofanikisha lengo nilipata safari ya kuenda home km miaka 2 niliporudi nilirudi na mke.

Nilijaribu kumtafuta ila pozi zilizidi kwa kua kulikua na kibwana anaishi nacho na anamalizia shida zake mi sikua na tabu kwani nilikua na mke sikumpa umuhi na kujua hawezi kuwa wangu tena.

Miaka zaidi ya 5 ilipita akaja kuniona siku hio wakiwa na bwana wake akamtambulisha kua mm ni classment wake naye akaniambia kuwa yule ni mchumba wake nikaoumia kidogo kwani mtoto alikua kapendeza nikachukua namba ya simu yake nikaanza kudowea upya alikubali ila alinambia kwangu anapas time na yule bwana ndio ataemuowa nanukuu " nakubali kwa kuwa ww ni wa mwanzo ila usifikirie kuniowa nafasi umeitupa"

Sikua na jinsi nikaamua kuroweka ngumu ili ile laini siku moja mtoto akanifuanulia sehemu nyeti kwa vile alikua ameshazoeya mchezo mi ikawa kazi yangu ni kuengeza maufuni na maujuzi ya kumkomoa ili ajue kile anachokimiss kwangu kwa kweli nilifanikiwa 100% mtoto akaniganda kama kupe jamaa yake akawa hana tena jipya hata akiomba kutoka naye hadi ruhusa nitowe mie akawa anapangiwa ratiba ya tendo miezi 2 mara 1 wakati mi nilikua natafutwa kwa wiki mara 2 mtoto akaamua kumpaka jamaaa yake matope kuona furaha iko kwangu hadi wakaachana.

Mashrti yakaanza kunikumba muache mkeo uniowe watoto wako nitawalea kwa kweli sikua mzito na nilitaka nimuowe awe mke wa 2 ila si kumuacha mke wamgu kwani hana kosa

Tatizo ni kua juzi nilimuaga naondika naenda pemba na familia yangu nitakaa huko miezi 4 ndio nitarudi tena unguja ambapo sote tunaishi hapo basi kaamua kunywa mafuta ya taaa ili afe nilipomuuliza anasema eti yy simpendi nampenda mke wangu na anamuonea choyo kua nami kipindi hicho huku yeye hapati chochote

Jamani huu kweli ni uzima?
 
Nambe

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Messages
1,455
Likes
8
Points
135
Nambe

Nambe

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2011
1,455 8 135
heee haya sasa baada ya adui wa mwanamke kuwa mwanamke kwa muda mrefu sasa na adui wa kwanza wa mwanaume nae ni mwanaume.....lol...... halafu unavyoandika......
 
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
155
Likes
2
Points
0
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined Apr 14, 2013
155 2 0
Inatia huruma mpe kabwana kademu kake bwana
 
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Messages
4,906
Likes
147
Points
160
BHULULU

BHULULU

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2012
4,906 147 160
Wewe naona umeishaharibikiwa tayari kwenye hiyo ndoa yako unahitaji maombi.
 
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,241
Likes
1,746
Points
280
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,241 1,746 280
wa visiwani nyie kwa kuongeza wake ndio wenyewe.haya muoe basi.
 
Bangu-silo

Bangu-silo

Senior Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
192
Likes
7
Points
35
Bangu-silo

Bangu-silo

Senior Member
Joined Jan 9, 2013
192 7 35
Alafu iyo heading yako badilisha sio kuwa ni kujiua. Anayetaka kujiua uwa hasemi na mtu bali uwa anachukua karatasi, anaandika wosia na sababu za kujiua, anajifungia ndani kisha ufunguo anautupa chooni au juu ya dari thn anafanya analolitaka. Huyo anakutishia tu.
Je, shule alimaliza?
 
G

Godgeofray

Member
Joined
May 18, 2013
Messages
6
Likes
0
Points
0
Age
32
G

Godgeofray

Member
Joined May 18, 2013
6 0 0
Sepa zako kumbe una mke kabisa? Vipi na yeye akimtafuta aliyemtoa bikra awe nae? Itakuuma?? Huna jipya wewe 2lia na mkeo
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,679
Likes
2,805
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,679 2,805 280
Muungano udumu kwa kweli! Manake tutakosa stori za unguja.

Enhee, alivyokunywa mafuta ya taa ikawaje tena?
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,902
Likes
4,081
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,902 4,081 280
Muungano udumu kwa kweli! Manake tutakosa stori za unguja.

Enhee, alivyokunywa mafuta ya taa ikawaje tena?
afu akatapikaaa...we acha tu!
btw.. mi huwa nakunywa hadi petrol na sifi..
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,679
Likes
2,805
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,679 2,805 280
Wewe si mlevi ndo maana haukufi. Alipotapika walimpa uji ama madhiwa?
afu akatapikaaa...we acha tu!
btw.. mi huwa nakunywa hadi petrol na sifi..
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,033
Likes
10,398
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,033 10,398 280
Lugha uliyoandika ni kiarabu au lugha gn? Mwe..kuandika kazi....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
511
Likes
83
Points
45
Age
34
mahirtwahir

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
511 83 45
Shule kamaliza form ii @ bangu-silo
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
197
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 197 145
^^
Pamoja na maelezo mazuri uliyotoa,,naona mwenye ushauri wa mwisho nini kifanyike ni wewe.
^^
 
Chloroquine

Chloroquine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
207
Likes
37
Points
45
Chloroquine

Chloroquine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
207 37 45
Habari waungwana.
Kwa kweli kuna msichana nilianzisha mahusiano naye akiwa darasa la 7 nami nilikua nimeshamaliza shule najishuhulisha na vijikazi kwa kweli nilikua na lengo la kumuowa huyu binti ila kikwazo ni kua alikua anasoma na kiumri ni mdogo sana.

Sikutaka kumuharibia maisha yake kwa kumtoa bikra kwani nilijua kua ndio hazina na thamani yake ila alipoona kua sitaki kufanya nae mapenzi na mida wote namuhimiza kusoma aliniona si wa thamani na kunizarau kila siku nyodo zikawa nyingi na matusi ya rejareja tusi la mwisho akanambia jongoo hapandi mtungi hili liliniuma zaid ya sana nikashindwa kulivumilia.

Nikaamua kumlipia twisheni ili nimpate atakavyo liliniuma lile tusi baada ya mm kumuonea imani asome akona si wa mana ni kajipanga kuvunja hazina kumvunja mdomo wake na zarau haikuniwia vigumu ilikua kma kumsukuma mlevi katika mlima wa kilimanjaro nilipofanikisha lengo nilipata safari ya kuenda home km miaka 2 niliporudi nilirudi na mke.

Nilijaribu kumtafuta ila pozi zilizidi kwa kua kulikua na kibwana anaishi nacho na anamalizia shida zake mi sikua na tabu kwani nilikua na mke sikumpa umuhi na kujua hawezi kuwa wangu tena.

Miaka zaidi ya 5 ilipita akaja kuniona siku hio wakiwa na bwana wake akamtambulisha kua mm ni classment wake naye akaniambia kuwa yule ni mchumba wake nikaoumia kidogo kwani mtoto alikua kapendeza nikachukua namba ya simu yake nikaanza kudowea upya alikubali ila alinambia kwangu anapas time na yule bwana ndio ataemuowa nanukuu " nakubali kwa kuwa ww ni wa mwanzo ila usifikirie kuniowa nafasi umeitupa"

Sikua na jinsi nikaamua kuroweka ngumu ili ile laini siku moja mtoto akanifuanulia sehemu nyeti kwa vile alikua ameshazoeya mchezo mi ikawa kazi yangu ni kuengeza maufuni na maujuzi ya kumkomoa ili ajue kile anachokimiss kwangu kwa kweli nilifanikiwa 100% mtoto akaniganda kama kupe jamaa yake akawa hana tena jipya hata akiomba kutoka naye hadi ruhusa nitowe mie akawa anapangiwa ratiba ya tendo miezi 2 mara 1 wakati mi nilikua natafutwa kwa wiki mara 2 mtoto akaamua kumpaka jamaaa yake matope kuona furaha iko kwangu hadi wakaachana.

Mashrti yakaanza kunikumba muache mkeo uniowe watoto wako nitawalea kwa kweli sikua mzito na nilitaka nimuowe awe mke wa 2 ila si kumuacha mke wamgu kwani hana kosa

Tatizo ni kua juzi nilimuaga naondika naenda pemba na familia yangu nitakaa huko miezi 4 ndio nitarudi tena unguja ambapo sote tunaishi hapo basi kaamua kunywa mafuta ya taaa ili afe nilipomuuliza anasema eti yy simpendi nampenda mke wangu na anamuonea choyo kua nami kipindi hicho huku yeye hapati chochote

Jamani huu kweli ni uzima?
Dah we kiboko ukamfanya mwanaume mwenzio amwagwe, hebu fikiria ingekuwa upande wako ungejisikiaje? Anyway muoe sasa kama mke wa pili.
 
J

jumalesso

Member
Joined
Jul 5, 2008
Messages
84
Likes
0
Points
0
J

jumalesso

Member
Joined Jul 5, 2008
84 0 0
Jitahidi kuacha zinaa kijana unayapa muelekeo mbaya maisha yako ya ndoa ambayo bado ni changa. Kwanini usiongeze wakati ruhsa ipo? Kinyume na hapo itakuwa ni ufisadi Mungu akuongoze kuacha mambo hayo
 
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
3,304
Likes
48
Points
145
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
3,304 48 145
Uache umalaya weweeeeee!
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Likes
6,458
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 6,458 280
Mwandiko wako mbaya
 
Forum statistics

Threads 1,274,995
Members 490,874
Posts 30,529,935