Babu nilikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi!!

Babu nilikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi!!

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Usiku huu nimeondokewa na babu yangu kipenzi..Eee Mungu mlaze mahala pema peponi Babu yangu.
 
"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa,
Jina la Bwana na libalikiwe!"
 
Pole mdau!
Grand'fa ametangulia but wewe upo . Pokea kijiti toka kwake.
Pole sana .
 
:rip:
Babu yake Crashwise.
Tuko pamoja ktk kipindi hki kigumu cha mpito.
Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe.
Japo inauma,Lakini jipe Moyo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Kamanda wangu

Babu wetu! Lala kwa Amani ya Bwana wetu Kirsto na hakika tu pamoja nawe Kamanda wangu Crashwise ktk kipindi hiki kigumu!

Bwana ametoa na Bwana ametwaa na jina la Bwana lihimidiwe milele na milele!!!!
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. pole sana crushwise na wapenzi wote wa simba. mia
 
pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu katika kipindî hiki kigumu!
 
Pole sana ndugu yangu! Kazi ya Mungu haina makosa. R.I.P Grandfather.
 
Pole sana mkuu ni kaz ya mugu.,....mungu awe pamoja nawe katika wakat huu
 
Pole sana kamanda kwa kuondokewa na babu yako, may his soul rest in peace Crashwise.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom