Recent content by juakal

  1. juakal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya vazi la bikini (thong) na tabia ya mtu

    Akivaa bikini mimi nitamuona malaya sababu wanaozivaa wengi wao wanajulikana
  2. juakal

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

    Nyie sema tu RIP, hayo mengine achana nayo
  3. juakal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

    After sex sometimes nampa na sometimes nampa nauli tu maana sitaki kawe kautaratibu ka kwamba kuna malipo every after sex. Hela za matumizi nampa japo simtimizii 100% Lakin hawezi kukaa siku mbili tatu bila kudai mechi. Sijui nikimuoa sasa
  4. juakal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

    Hahaaa maeneo gani mkuu? Utakuwa mkombozi wangu… .. maana kila baada ya siku mbili utasikia mchumba leo vipi nimemis kweli
  5. juakal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

    Sexual addict… . hakika huyu wa kwangu ni sexual addict maana sometimes najikuta naishiwa mpaka hela ya lodge
  6. juakal

    JamiiForums Tanzania Hakiki simu yako kwa mtandao

    Zangu zote ziko poa. Ukinunua kitu genuine raha sana. Hakuna mawazo
  7. juakal

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Nipo changanyikeni. Ubungo naupata sehemu gani niununue kesho
  8. juakal

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Nimevutiwa sana. Ubungo naupata sehemu gani?
  9. juakal

    JamiiForums Tanzania Naomba huu wimbo kama unao (Flaviana & Flavour)

    Sawa nakutumia
  10. juakal

    JamiiForums Tanzania Naomba huu wimbo kama unao (Flaviana & Flavour)

    Ni pm namba yako nikutumie whatsapp
  11. juakal

    JamiiForums Tanzania Msiba wa mama yangu mzazi

    Pole sana mkuu. Allah akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
  12. juakal

    JamiiForums Tanzania Usaili DUCE 28 Dec 2015

    Mimi pia nilifanya. Sikupigiwa hadi leo. Nadhani ambao hatukupigiwa tulikosa
  13. juakal

    JamiiForums Tanzania Tatizo la storage space kwenye simu

    Ulinunua sh. ngapi mkuu? Huwa naziogopa sana simu za wale vijana
  14. juakal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Haha hahaaaa kwakweli
  15. juakal

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza safu mpya ya Makatibu Wakuu, Eliakim Maswi apelekwa TRA

    Hii nafasi kwa Tibaijuka ni ndogo. Atagombea uraisi awamu ijayo
Back
Top Bottom