Msiba wa mama yangu mzazi

nsereko m

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,930
2,170
Wanajamvi nasikitika kutangaza msiba wa MAMA yangu mzazi uliotokea leo mjini MOROGORO, in shaa allah maziko kesho alasiri KOLA HILL CEMETERY.
 
Pole sana mkuu. Allah akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom