Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

Suala la Tendo ni utayari wa mwili,akili na mawazo.. Mara Nyingi mwanamke ni vigumu kuionyesha hiyo hali ya utayari kwahiyo ni lazima mwanaume uwe mchokozi kwa kuzijua zile sehemu tano katika mwili wa mwanamke ambazo huleta ashkii kila zinapoguswa na kuchezewa kwa ufundi.

Hata mimi ni mmoja kati ya watu ambao huwa sipendi ngono pale ninapokuwa na msongo wa mawazo, uchovu ama nikiwa na kazi ambayo inahitaji umakini.

napenda sana ngono nikiwa huru kiakili, kimawazo na kimwili na hapo huwa napiga show ya ngerengere
 
Pia usisahau ile ahadi yako na Mungu kuwa hutafanya sex hadi ufunge ndoa,tunafuatilia na tutajua tu!
 
mm kuna demu mpaka tukaachana...yaan anapenda sex saana..ukipitisha siku mbil bila kula mzigo matusi...na ukigonga anataka sita +...nikaona isiwe tabu atanivimbisha mshipa wa enia....nikaachana naye
 
100% ukweli hata mm huwa inanitokea nakaa week 2 sijisikii kabisa kuduu
 
msichana akiwa sexuall addict its crazy aisee
 
Duuuh hii mada imenikumbusha kipindi nipo chuo.. kunasiku nipo geto na king'ast wangu najiandaa na paper JAVA programming theory, kwa waliosoma IT wanajua ugum wa hiyo kitu.. sasa nimeconcetrate, daah kuja kupiga jicho kwa bed nkakuta mtoto kalala poz flan hiv kalalia tumbo mtako kaubinua flan.. oooooh... yan daaah uzalendo ukanishinda nsuri ukaishia hapo.. ikabidi nishitue kwanza ndo msuri ukapanda.. so sometime unaweza ukawa huna feeling lakin mwenzio akijua pa kuzishtua unachange hali ya hewa fastaaaa
 
Sio kila wakati mwanaume anataka sex na sio kila wakati mwanamke hataki sex.

Hicho ni kitu nmejifunza hivi punde. Inasemekana kuwa wanawake hawapendagi ngono sana ila ni uongo. Kuna mida ikifika mwanamke anawaka moto na anataka kulala na mtu vibaya sana.

Lakini pia tunajua kuwa wanaume wanapenda ngono sana ila ukweli ni kwamba kuna mida hataki kusikia hayo mambo. Kuna wakati hata ukimkalia uchi hajiskii chochote.

Wanawake huwa inatokea hivyo katika siku chache(4) za kila mwezi na kama wewe ni mwanaume mwenye hekima ukizijua hizo siku za demu wako ukalala nae hapo basi sex inasemekana kuwa nzuri sana kupitiliza siku zote.. ila muwe waangalifu sana katika hizo siku mimba hutungwa sana katika hizo siku ndio (danger days)

Wanaume huwatokea (hawataki sex) mara nyingi wakiwa na stress sana au wakiwa na kazi za muhimu (busy) unakuta hataki kabisa.. Au akiwa katoka ku-sex sana muda mfupi uliopita.

Duniani kuna sex addicts na huu msemo nmejifunza kwa couple fulani ambayo the girl ni sex addict na the boy ni normal.. Hiyo couple imeonesha utofauti mkubwa kwani huyo dada anapenda ngono kila saa na huyo kaka hapendi ngono.. hyo couple ime-undefine law yakuwa wanaume wanapenda sex na wanawake hawapendi sex.

So. Ni vema kujua ni wakati gani mwenzako anataka ngono au hataki na uheshimu hayo maamuzi. Kama kunakitu cha kuongezea juu ya hili ni freshy coz nmetoa kichwani kwangu na sidhani kama nimeandika kila ktu.. there probably people who know more than me.. ila according to me nnajua haya machache.

P.S: Just Sharing.
Kweli kabisa.
 
Je unapomaliza naye sex unampatia fedha hapo hapo? Je huwa unampa pesa za matumizi hata kama hamjafanya sex?

Nimeanza kuuliza maswali hayo kwa now njema kabisa. Sisi wanaume baadhi yetu hatutoi fedha za matunzo hadi ale mzigo. Kama ndo hivyo demu kwa shida alizonazo atakuwa analazimisha sex ili apate fedha za kujikimu.

Ili kujua ni sex addict au la mrahisishie matumizi ya kawaida na mpe uhuru wa kuelezea mahitaji yake. Baada ya kufanya hivyo, mchunguze tena kwa miezi 3 hivi, baada ya hapo utaweza kusema ni sex addict au la.
After sex sometimes nampa na sometimes nampa nauli tu maana sitaki kawe kautaratibu ka kwamba kuna malipo every after sex. Hela za matumizi nampa japo simtimizii 100%
Lakin hawezi kukaa siku mbili tatu bila kudai mechi. Sijui nikimuoa sasa
 
I wish ningekuwa na mdada anapenda kusex sana.
mmmh sidhani kama ungependa bila furaha ya maisha pesa. Mfano kama unavyo wish ungekua mdada then upate mwanaume mbahiliiiii shombo tupu vip hapa ungependa ku do?
 
mm kuna demu mpaka tukaachana...yaan anapenda sex saana..ukipitisha siku mbil bila kula mzigo matusi...na ukigonga anataka sita +...nikaona isiwe tabu atanivimbisha mshipa wa enia....nikaachana naye
cc: Rogie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom