imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 992
Wakuu, heri ya mwaka mpya. Nimenunua simu aina ya sony experia kwa wale vijana wanaoshikilia mikononi. Nikaanza kudownload application mbalimbali, nilianza na Whatsapp ikenda vizuri tu, then nikadownload Jamiiforums, nayo haikuwa na tatizo, ile namaliza facebook ikakataa na ku sema, "insufficient storage space / storage space running low. Jana nikanunua 16GB memory card, lakini tatizo liko palepale. Nikicheki space, nakuta 3.6GB out of 4.0 GB internal memory available, na 14.1 GB of external storage available! Any help please!!.