HASHIM lUNDENGA: "sio sahihi, tupo makini na ndio maana tumegundua, fahamu ya kwamba kila mwaka washiriki wengi tu hutudanganya kuhusu umri wao na ndio maana tupo makini.. tuwajibike kwa kosa gani?"
Samahani kidogo Wenye fani ya uhandishi wa habari, hivi huyo mtu aliwezaje kusema yupo...
Wewe Mshana una akili kama zangu, i like watu wenye uelewa mpana na wenye uwezo wa kuongea kwa hekima na staha. Ulikuwa unakuwa mtu wa ngapi class enzi zako mkuu? Maana mi nakumbuka enzi zangu primary na O level nilikuwa nawachakaza siwaangalii usoni.
Yaani wewe nahisi baada ya kusoma tu komenti za yule mtu ukakurupuka kuandika. Hujaishirikisha vyema medula yako, kitu alichojaribu kukisema yule mtu kinamuelekeo wa ukweli kwa asilimia kubwa sana, huwezi ukagombana na Mumeo ukakimbilia gest ama hotelini (HUNA AKILI NA HUJUI KUSIMAMA KATKA...
Hayo ya marekni, india, china cjui wapi sisi hayatuhusu wewe. Kwa nini usiwe na akili huru wewe, kwani sisi hatuwezi kuwa na utaratibu wetu uliostaarabika, usiojari ubaguzi wala unyonyaji mpaka tufananishe na marekani? Marekani sasa wanaume wanaoana kwa hiyo na sisi wanaume wa Tanzania tuoane si...
Ni ukurasa wa kazi na tenda na heading inasomeka OKOA TANZANIA, huu ni mfululizo wa mawazo na mitazamo katika kujadili mambo mbalibali yananayohusu taifa letu (Nyote mwakaribishwa). Naamini hapa ni sehemu sahihi na tunaweza kusaidiana kwa pamoja kimawazo kwa kuwa tupo watu wa taaluma mbalimbali...
Watanzania tulio wengi tuna roho za kibinafsi,mtu akiangaika akafanikiwa toka kwenye shida hataki ama hawezi kusemea wengine wenye matatizo.Hii si roho ya kizalendo,taifa halitapiga hatua kamwe kwa kuwa na watu wenye roho na mitazamo ya namna hii.
Kuna jambo moja napenda nikuaminishe mtoa mada ambalo mimi naliona ktk jamii inayonizunguka.
Waweza kuta mwanamke A ameolewa na mwanaume B lakini mwanamke A analidhishwa sana kimapenzi na mwanaume C,mwanaume C kwa kuwa anamlizisha mwanamke A tunategemea ingekuwa vivyo hivyo kwa mkewe lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.