Government Ban Job Recruitment Agencies!

Government Ban Job Recruitment Agencies!

hii imekaa poa sana Good start mama...binafsi nakupongeza kwa kuliona hili. ambalo linawakumba waanga wa ajira nchini ni sahihi kabla ya kutoa au kutangaza mkakati wa kuwapatia ajira vijana na wengine ni vizuri umeliona hili je ajira zilizopo utaratibu uko fair..hili NAKUPONGEZA wewe na wizara yako..na washaauri wako :A S thumbs_up:

Pia katika suala hili la ajira...hebu wizara iangalie mikataba inayotolewa na International NGO nchini..ni mikataba ambayo inamnyonya mtanzania au mawajiriwa mzawa. NGO imepata project ya miaka 4 au 3 lakini mkataba wa wafanyakazi wake ni mwaka mmoja reniwable..hii inapunguza sana security ya huyu mwajiriwa, dhamana ya mikopo ni shida toka ktk mabenk wakiangalia mkataba wake wa mwaka mmoja tu.

Katika NGO hizo hizo suala la ku-nationalize work policy wizara ina uwezo kufanya hizi asas za kimataifa kufuata sera ya kazi ya Tanzania...mfano issue za likizo, bima za afya, pension...kuna haja maafisa kazi wa mikoa kufanya reality check visit ktk NGO hizi za nje kuona wameweza vipi kunitionalize policy zao.....!! kumbuka wizara hii ilionekana pia pale mrema alipoichukua toka mambo ya ndani..tuliona wahind walivoangaika.....!!!!
 
Maamuzi mengine ni ya kukurupuka. Ni kweli recruitment agency zina mapungufu. Kwa mfano, huwa ni wazito kuwatetea wafanyakazi pale ajira inapoingia matatani hasa katika mashirika makubwa ya kigeni. Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hawa jamaa wamesaidia sana to put a professional face to the employment industry. Vijana wakienda lazima wapigwe interview na kupewa tips on how to behave. Serikali isikurupuke kufanya maamuzi ambayo yanaumiza zaidi ya kujenga.
 
sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.

Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.

Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.

Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.

Kama hii habari ni kweli, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.

Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.

bora serikali wazifunge kwanza-then serikali ibane sheria ili kama watariruhusu tena zije zifanye kazi kwa kufwata utaratibu unaoeleweka-zilikuwa zinaniboa sana
 
hiki ni kituko kngne. Kuzifungia sio jibu hata kidogo kwani wakat znaanza walikuwa wapi? Ni wangapi waliokuwa wanafaidika (hata kama n kidogo) chini ya hzo Agencies na watarudi nyumban kuanzia kesho?
 
OK asante kaka kwa taarifa... Ila mm sioni umuhimu wa kufunguwa, sometimes wanasaidia sana kutafutia kazi vijana, badhii yao ndio wapo whuni ila agencies zingine wko safi sana

Nyie ndo mnao nufaika, subiri utaratibu mpya uandaliwe.
 
Duuu kwahyo sie tuliopo na hizo agencies ina maana tutafukuzwa kazi?
 
Maamuzi mengine ni ya kukurupuka. Ni kweli recruitment agency zina mapungufu. Kwa mfano, huwa ni wazito kuwatetea wafanyakazi pale ajira inapoingia matatani hasa katika mashirika makubwa ya kigeni. Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hawa jamaa wamesaidia sana to put a professional face to the employment industry. Vijana wakienda lazima wapigwe interview na kupewa tips on how to behave. Serikali isikurupuke kufanya maamuzi ambayo yanaumiza zaidi ya kujenga.

Tunafungia kisha tutaenda Malaysia kujifunza wenzetu wanazisimamiaje msiwe na hofu watanganyika.
 
Duuu kwahyo sie tuliopo na hizo agencies ina maana tutafukuzwa kazi?

Wanachemka tu. Kesho utasikia waziri akitoa ufafanuzi kuwa hakuwa na maana ya kuzifunga. Kama nilivyoeleza hapo juu watu wanachanganya recruitment agency na outsourcing companies. Kwa maelezo yao utaona wana lalamikia outsourcing companies.

Recruitment agency hazina madhara maana hata serikali ina recruitment agency yake ambayo ni tume ya ajira. Sasa private companies ndo zinatumia hizi private recruitment agencies Which is not bad at all.

Kwa upande mwingine outsourcing ni trend ya kibiashara ambayo imeenea dunia nzima. Tena shukuru mungu hizo company zinazo outsource kwa kampuni za hapa hapa nyumbani.

Kwa trend ya sasa ni kawaida kampuni ku outsource nje au ndani ya nchi. kuna kampuni marekani call center zao ziko india. Mtashangaa kusikia siku kampuni kubwa kama vodacom tigo n.k custome care yao iko nairobi etc.

Wabongo jipangeni.
 
tusio na ajira yetu macho na masikio tu muhimu waachie ajira watu hatuna kazi
 
bora serikali wazifunge kwanza-then serikali ibane sheria ili kama watariruhusu tena zije zifanye kazi kwa kufwata utaratibu unaoeleweka-zilikuwa zinaniboa sana
Huwezi kuzuia outsourcing kwa nguvu ya kisiasa, bali kwa nguvu ya kiuchimi.
 
Wadau, serikali imepiga marufuku mawakala wa ajira baada ya watu kulalamika! What do you say? Pamoja na mambo mengine, wadau wamelalamikia tabia ya kampuni hizi kutopeleka makato ya mifuko ya jamii.

MY TAKE: Nadhani hili jambo limechelewa manake nasikia baadhi ya kampuni za uajiri ni full dhuruma. Mathalani, nasikia SPANCO, wanalipa mshahara wa sh. 270,000/ kwa customer care. Kuna wengine viwango vyao vya mishahara wala hawaangalii qualification a muhusika; provided watu wana shida ya ajira, wanajua watu watachukua chochote wapewacho.

tatizo ni tafsiri ya hiyo ban... kuna consulting firms kama delloite au ernst and young wanaajiri kwa niaba ya serikali au other private firms hasa kwa senior positions... je watawaban nao?
 
huko kwenye employment agencies sijui chochote. Ila naomba kujua sheria au utaratibu wa serikali unaotumika kuziongoza taasisi binafsi km shule, maana kabla sijajiunga na serikali nimewahi kufundisha huko. Baadhi zinawakandamiza sana wafanyakazi kwa kutowapa mikataba hasa km ni non professional teacher, utadhan hizo ajira ni km hisani. Kuna watu wamefundisha zaidi ya miaka 3 km vibarua.
 
hii imekaa poa sana Good start mama...binafsi nakupongeza kwa kuliona hili. ambalo linawakumba waanga wa ajira nchini ni sahihi kabla ya kutoa au kutangaza mkakati wa kuwapatia ajira vijana na wengine ni vizuri umeliona hili je ajira zilizopo utaratibu uko fair..hili NAKUPONGEZA wewe na wizara yako..na washaauri wako :A S thumbs_up:

Pia katika suala hili la ajira...hebu wizara iangalie mikataba inayotolewa na International NGO nchini..ni mikataba ambayo inamnyonya mtanzania au mawajiriwa mzawa. NGO imepata project ya miaka 4 au 3 lakini mkataba wa wafanyakazi wake ni mwaka mmoja reniwable..hii inapunguza sana security ya huyu mwajiriwa, dhamana ya mikopo ni shida toka ktk mabenk wakiangalia mkataba wake wa mwaka mmoja tu.

Katika NGO hizo hizo suala la ku-nationalize work policy wizara ina uwezo kufanya hizi asas za kimataifa kufuata sera ya kazi ya Tanzania...mfano issue za likizo, bima za afya, pension...kuna haja maafisa kazi wa mikoa kufanya reality check visit ktk NGO hizi za nje kuona wameweza vipi kunitionalize policy zao.....!! kumbuka wizara hii ilionekana pia pale mrema alipoichukua toka mambo ya ndani..tuliona wahind walivoangaika.....!!!!

Mama ushauri huu wa buree chukua.
 
Wanachemka tu. Kesho utasikia waziri akitoa ufafanuzi kuwa hakuwa na maana ya kuzifunga. Kama nilivyoeleza hapo juu watu wanachanganya recruitment agency na outsourcing companies. Kwa maelezo yao utaona wana lalamikia outsourcing companies.

Recruitment agency hazina madhara maana hata serikali ina recruitment agency yake ambayo ni tume ya ajira. Sasa private companies ndo zinatumia hizi private recruitment agencies Which is not bad at all.

Kwa upande mwingine outsourcing ni trend ya kibiashara ambayo imeenea dunia nzima. Tena shukuru mungu hizo company zinazo outsource kwa kampuni za hapa hapa nyumbani.

Kwa trend ya sasa ni kawaida kampuni ku outsource nje au ndani ya nchi. kuna kampuni marekani call center zao ziko india. Mtashangaa kusikia siku kampuni kubwa kama vodacom tigo n.k custome care yao iko nairobi etc.

Wabongo jipangeni.

Hayo ya marekni, india, china cjui wapi sisi hayatuhusu wewe. Kwa nini usiwe na akili huru wewe, kwani sisi hatuwezi kuwa na utaratibu wetu uliostaarabika, usiojari ubaguzi wala unyonyaji mpaka tufananishe na marekani? Marekani sasa wanaume wanaoana kwa hiyo na sisi wanaume wa Tanzania tuoane si ndo unataka hivyo? Kufungiwa ni hatua moja ya msingi sana ili wao wajue kwamba wanayoyafanya hayakubaliki. Kwa nini pesa itoke kwa kampuni moja kisha ipewe kampuni nyingine ili imlipe mfanyakazi anayefanya kazi moja, uwezo mmoja, elimu moja nayule aliyeajiriwa moja kwa moja na kampuni husika? Nini kinafichwa? Tiba ni muhimu sana lakini wewe hupewi mwingine anapewa, je, wewe una mwili wa bati?house allwance wewe hupewi mwingine anapewa je, wewe unalala kwenye mashimo au juu ya miti?, mkopo ni muhimu wewe hupewi mwingine anapewa. Hivi taasisi inayofanya haya ikifungiwa unalalamika kweli, kama hili unalilalamikia naamini ukiwa kiongozi utakuwa kiongozi wa ukandamizaji tu.
 
Wadau ktk taarifa ya TBC1 Hivi punde,Waziri wa kazi bi Gaudensia Kabaka atangaza kusitisha kazi za hizi recruitment agent,safi sana sana sana Mama,sababu ni zinakosesha waajiriwa kukosa haki zao kama hifadhi za jamii,mafuzo kazini,mafao ya elimu,uzazi,mikataba mifupi na makato yasiyo kuwa na tija,yaani ni unyanyasaji tu,na mengine utakayoyaona......
Safi sana sana Wizara ya kazi...Now hata Urasimu hawa jamaa huchangia sana sana.Ni kilio cha Muda Mrefu cha Vijana.
Pia ni kinyume cha sheria ya ajira.....
Really tumefurahi sana sana.....Hongera sana sana Waziri KABAKA.

I am afraid that this is not solution to the problem and is not the end of your disappointment
 
Finally Jamani! :majani7:
Whatever it is wataamua kufanya ili kudhibiti hawa outsourcing companies wafanye. Ukweli ni kwamba wanapunja sana mishahara ya wafanyakazi na kutowapa benefits zao za muhimu kabisa. Something has to be done about this. Hata kama sio kuzifungia moja kwa moja ila waingilie maslahi ya wafanyakazi. Tunakubali kufanya kazi kwa sababu ya shida tu ila ukweli ni kwamba wananyonya mnoo! We understand ni biashara, always aiming at maximizing profits ila hapana, hali ni mbaya mnoo!
Asante Mheshimiwa Waziri.
 
Back
Top Bottom