be ware of erolink

be ware of erolink

jamani tujuzane hvi hawa jamaa wakikupatia kazi unakuwa chini yao au inakuwaje wadau nidadavulieni plz...
 
erolink ni WAHUNI sana, wanakata mshahara na calculation zao za wizi pili overtime kuilipa ni matatizo hadi uvutane nao shati kama vile hujafanya kazi, ukiumwa usipoenda kazini hulipwi, ukifiwa unapewa ule mda uliofiwa ndio likizo yako..inshort in wanyanyasaji ndio maana kila siku watu wanaachana nao..waulizeni customer care vodacom au NBC bank..kuhusu hizo NSSF/PPF wanakula wao, ukienda kuuliza ppf hakuna pesa kwenye account yako..kazi yao ni kununua magari kwa jasho la wasomi wanaowaonea. Wachukuliwe hatua kali.
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa hawapo serious kabisa... watu wamefanya kazi mwaka mpaka leo makato yao hayajapelekwa PPF/NSSF, zaidi ya miaka miwili wafanyakazi hawajapata likizo coz mkataba wao na wafanyakazi wao ni kwa miezi mitatu mitatu tuu. wafanyakazi waao wanaweza kucheleweshewa mishahara wakiulizia wanaambiwa tumesahau akaunti zenu....
ni recruitment agency ya kinyonyaji sana....
swali langu hivi wizara ya kazi inajua unyonyonyaji unaofanywa na hizi recruitment agencies???
ni nani anayewapa kiburi hawa jamaa???

source: mie mwenyewe niliwahi kufanya nao kazi

Jina lako linasound kichagga. Yaani mpaka Erolink mnataka vyeo muwe ninyi tuu????
 
erolink janga nendeni vodacom call center watu wanataabika mshaara laki 2 utoe nauli ule ulipe kodi na kazi mwanzo mwisho dah
 
Eurolink ni janga janga kweli kweli! Si masikhara! Mie nilinda kwa interview zao mbuzi, basi saa ya mshahara nikataja figure reasonable tu, wakashtuka eti! Basi wakaniambia wao wanatoa hio hela ya vocha. Nikawatolea salary sleep nikawaambia mimi huku niliko napata mara kibao zaidi ya hio ila hainitoshi ndo nataka kuhama hivoo, sasa huto tu pesa twa vocha ni deal breaker.

Wakaanza kunipiga sound nikawapotezeaaa mazimaaa!

Ila kuna decent recruitment agency kama Enrich Africa yule muhindi yuko poa sanaaaaa. Tena anakwambia usikubali kufanywa valuless na kampuni, unamwambia hela unayotaka anakutafutia within a short time, na humlipi chochote na mkataba un aingia na client wake na yeye analipwa na client. Na ukishaanza kwa client its over btn you guys hakutafuti tena unless usirizike urudi akutaftie pengine.

That was along time agooo alikuwa ndo anaanza anza siku hizi sijui amekuwaje au bado yuko honest.

Shughulika recruitment wahuni tu, radar recruitment na siku hizi wababishaji kupita maelezo, yaani hizi recruitment agency nyingi magumashi.
 
Wewe inaonekana unazijua zijua hizi recruitment agencies, vipi kuhusu Manpower?
 
mi nlickia wanaofanya voda kutoka erolink wanalipwa laki 2 na 45 na salary yao inaonyesha kampni inapewa laki nane na vodacom,sasa robo 3 wanakula wao ni roho gani ya kinyama hiyo
 
nafikiri wanaotafta kazi watakuwa wameelewa kuhusu hawa jamaa
 
sina kazi nina kazi ya kupika mchuzi na wali na kuwasaidia watoto homework tu

sasa iyo homework kapewa mtoto au umepewa mama??ticha anajua mtoto hajaelewa kumbe homework kafanya maza.....alafu baadae mnakuja laumu serikali na walimu kumbe watoto mnawapoteza wenyewe.
 
Kazi kubwa iliyopo sasa ni 2015 na jinsi ya kuibana CDM. Ukipeleka mambo ya Erolink unapoteza muda kabisa maana yale serious kama elimu, afya, maji na huduma nyingine za msingi bado majibu!! Tuna tume tu zinakula hela.
 
Back
Top Bottom