Kumekuwa na nyimbo zikitolewa za madj na maproducer kuwashirikisha wasanii waimbaji na wao hawaimbi kabisa kwenye nyimbo hizo mfano wimbo wa DUAS wa LEGENDARY BEATS FT VANESSA MDEE , I GOT THE KEYS, DO YOU MIND za DJ KHALED FT C.BROWN, NICK MINAJ NA FUTURE
hivi inakuwaje kwenye show, dj khaled...