Msukule aliyesalimika baada ya ugomvi wa Kaka na Dada!

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,417
5,441
Nimeikuta hii habari Na Picha kwenye moja ya group la Whatsaap.

Haina Maelezo yanayojitoshereza zaidi ya kusema Baada ya Dada kugombana Na Kaka yake, ndo akamwaga mboga kuwa Kaka yake wakati anajenga hiyo nyumba, alijenga kichumba kidogo Sana, Na kumuweka Msukule wake ambapo alibakiza kisehemu kidogo Sana (Tundu)
Then akaendelea Na ujenzi mpaka kumaliza!

Siri ikajulikana majuzi baada ya Mdada kuropoka.......
Picha zinaonyesha hatua kwa hatua toka kuvunja mpaka kumtoa Msukule.
wp_ss_20161215_0002.png
wp_ss_20161215_0003.png
wp_ss_20161215_0004.png
 
A mysterious event happened at ONDO ODUDUWA STREET, ONDO STATE.
Nigeria

A boy of about 12yrs old was found in the middle of moulded laid blocks. It is beyond imagination, it is unexplainable, The boy sang for like 3 days before the people around discover it was a human and began to break the wall.
He was placed behind the walls alive, buried alive behind walls, used as a foundation for a church building, and yet how he survive is still a mystery, Passersby use to complain about hearing a strange noise behind the wall until one man has the courage to break the wall and behold...
 
Huo ukuta umezeeka ni ws muda unaonyesha, yaani umekojolewa sana, halafu huyo mtu aishi muda wote huo, ngumu kumesa!!.
 
Hii ni ngumu kuamin nimekataa kbs kucha nani alimkata,nywele nani alimkata na nani aliekuwa anamuogesha maana hana hata ukurutu waseme jingine hilo hapanaa
 
Back
Top Bottom