Ushauri: Watengenezaji wa konyagi

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Kwanza niwape pole kwa kufungiwa utengenezaji wa kinywaji pendwa konyagi ndogo aka kiloba.

Toka kiloba kimefungiwa hali imekuwa ngumu kwa wadau ukizingatia life ilivyo bana.

Ushauri wangu ni huu... Anzeni kutengeneza chupa special za konyagi (ziwe kama zile chupa za St. Anna au Dompo) za lita moja na nusu au lita mbili. Hizi chupa zije na vifungio special na glass za kupimia au glass special za kuuzia konyagi.

Inakuwa kama ulaya vile unaenda zako kaunta, unanunua kiglasi chako cha konyagi kaunta unagonga.

Viloba vilipendwa sababu si kila mtu alitaka anywe bapa nzima mwingine anataka kushtua tu mzuka.

Anzeni kuuza kwenye vi glass muone kama mauzo hayajapanda. Alafu mje mnishukuru
 
Watu wanataka privacy unazungumzia kwenda kaunta,,, kiroba unakiminya chocho unatupa unaenda zako kichwa kikiwa fresh sasa nianze kwend bar kusitua naanzaje hiyo halafu ni kujichoresha tu hapo... Wenyew labda watengeneze kichupa cha plastic wauze kwa bei ile ile ya jero kwa buku...Ni hivyo Tu.
 
Back
Top Bottom