Nikinunua line ya tigo pesa Arusha nikileta Dar itafanya kazi?

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaaam Wakuuu Tafadhali Naomba

Muongozo kwa wataalamu kabla sijachukuwa maamuzi

Kuna line ya Tigo pesa inauzwa Mkoani Arusha

Nilihitaji kuinunua ili Nije kufanyia kazi huku Dar es salaam coz Poplution Ya watumiaji Wa tigo Niwengi

Sio kama Arusha

Lakini sasa Nawaza je inaweza kuja kufanya kazi ???

Nahaita sumbua ??
Navipi kwenye malipo watalipa kama kawaida Na huwa kila mkoa una malipo tofauti ??

Au nisawa tu kutegemeana Na miamala

Naomba kuwasilisha kwa wajuao wanijuze asante.
 
Itafanya kazi popote pale pale ila risk ya kununua kwa mtu ni kwamba endapo ikipotea utashindwa kurenew cuz hutakuwa na vithibitisho vya umiliki wa line ndio utapojikuta unapoteza fedha zako hivi hivi.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Salaaam Wakuuu Tafadhali Naomba

Muongozo kwa wataalamu kabla sijachukuwa maamuzi

Kuna line ya Tigo pesa inauzwa Mkoani Arusha

Nilihitaji kuinunua ili Nije kufanyia kazi huku Dar es salaam coz Poplution Ya watumiaji Wa tigo Niwengi

Sio kama Arusha

Lakini sasa Nawaza je inaweza kuja kufanya kazi ???

Nahaita sumbua ??
Navipi kwenye malipo watalipa kama kawaida Na huwa kila mkoa una malipo tofauti ??

Au nisawa tu kutegemeana Na miamala

Naomba kuwasilisha kwa wajuao wanijuze asante.
Ndiyo inapiga mzigo.
Mkuu ninazo mbili kwa kwa 200k, kwa anayehitaji., nioo pm.
 
Hiyo line haisumbui...itasumbua wakati wa kurenew labda.. malipo na commission ni vilevile nadhani kutegemeana na idadi ya miamala
 
Back
Top Bottom