Recent content by JosephElly

  1. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Mafundi uchwara wanavyotuulia magari yetu

    Ndugu, pole... Hapo kagua unaweza kuta washatoa unga kwenye Exhaust. Nimejifunza the hardway habari ya kuamini mafundi... Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  2. JosephElly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu katika hili kama familia tumebaki njia panda

    Dah, Usimbe kuvaa hivi viatu. Ila kwa wanaojua sheria sijui kama kuna sheria inayo shughulikia wanawake aina hii wa kubambika watoto. But akapime DNA tu kuhakikisha
  3. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Hapa ndio nimeona Jumbe za Sister kwenye Group. Ila kwetu bado hajaweka Taarifa ya malipo. Unalipa ada, mchango wa Bweni ulinzi. Utaratibu kama shule ya uma. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    Doh na last term walikuwa na tour mbugani, Laki 4 kama sikosei. Honestly mazinde juu wako very unpredictable. Na chakusikitisha ni Kanisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

    Suluhisho la kuto jiamini ni kutafuta zaidi nafasi za kufanya kile unachohisi huwezi. Mazoezi pekee ndio sukuhiso, kuongea katika hadhara inataka uzoefu ambao hata uvute nini hutapata.
  6. JosephElly

    JamiiForums Tanzania wapi naweza kupata hivi vidude kwa ajili ya wanangu

    Zilizopo jumia ni changamoto tupu. Nilinunua na hata hamna lamaana zinachofanya
  7. JosephElly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania swali: Hivi wanaume huwa mnatofautisha katu ya sex na upendo??

    Sex inaweza kuwa bila upendo, ila hakuna upendo Bila sex huo ndio mtazamo wetu.
  8. JosephElly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hiki nilichokifanya kwa mke wangu niko sahihi au nimekosea?

    Well played
  9. JosephElly

    JamiiForums Tanzania SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

    Gari zinazoendeshwa na wadada ndio huwa na engine vimeo kupitiliza. Asilimia kubwa sio watu wa kufanya service kwa wakati.
  10. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa magari

    Inategemea na Position, Ila kwa mtazamo wangu hiyo ni Control Ya side mirrors Sent using Jamii Forums mobile app
  11. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    You are a reader, Unajua hata kile kipimo hiwa hakiangalii actual virus
  12. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Je dada JIDE ni mjamzito? Mbona kawa mkali hivyo? Kanishukia kama mwewe huko inster

    Lol, Kama hujawahi kutana nae unaweza hisi ni mtu mmoja peace sana. Ila kwa binafsi japo sijamzoe na nilimeet nae mara moja nilijua ni mtu mwenye kujisikia sana. So hata hilo sishangai
  13. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Tecno CX Gold inauzwa

    Bei 280000. Imetumika mwezi mmoja. Risiti zote zipo + original charger na earphone Bado Ina warranty Miezi 11 Imebaki 0753716279
  14. JosephElly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Umeuliza mwenyewe alafu unalalamika?! [emoji23] Jikaze tulia na mkeo, unaweza ruka mkojo ukakanyaga nnya
  15. JosephElly

    JamiiForums Tanzania Mume wa Wolper

    Unamjua Mdudu Kaa?
Back
Top Bottom