swali: Hivi wanaume huwa mnatofautisha katu ya sex na upendo??

Aquous

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
292
86
naomba kujua mbona wanaume mko na high sex drive na ikitokea fursa ya kumla mwanamke unapita nae hata kama humpendi.je nyie kwenu sex na upendo ni vitu viwili tofauti ?? na inakuaje hapo
 
Kufanya mapenzi ni kustarehe tu, na hiyo ni moja wapo ya starehe, ila linapokuja suala la upendo ni tofauti kabisa, kwani unaweza kumpenda mtu na usihitaji kusex nae ila unaweza kusex na mtu hata usiye mpenda kisha ukimaliza unafyonza.

Pia inapotokea mtu anakuambia amekupenda anamaanisha munaweza kwenda sawa kwa baadhi ya mambo na inapokuja suala la sex inawezekana kwa upesi zaidi maana munapendana na mnashirikiana mengi hivyo sex katika upendo ni extra issue mana unaweza kumpenda mtu hata bila kuhitaji sex kutoka kwake,
 
Hahahahahaha hapo unafyonza nimecheka sana. .yaani baada ya kumaliza unaanza kujutia muda wako. Etc ..huwa ipo sana hiyo
Kufanya mapenzi ni kustarehe tu, na hiyo ni moja wapo ya starehe, ila linapokuja suala la upendo ni tofauti kabisa, kwani unaweza kumpenda mtu na usihitaji kusex nae ila unaweza kusex na mtu hata usiye mpenda kisha ukimaliza unafyonza.

Pia inapotokea mtu anakuambia amekupenda anamaanisha munaweza kwenda sawa kwa baadhi ya mambo na inapokuja suala la sex inawezekana kwa upesi zaidi maana munapendana na mnashirikiana mengi hivyo sex katika upendo ni extra issue mana unaweza kumpenda mtu hata bila kuhitaji sex kutoka kwake,
 
Kama nyie mnaweza mbona binti wa miaka 18 analalwa na mzee wa Miaka 60???????au binti anaolewa na mtu hampendi kwa zaidi ya Miaka 20???

Njia ya Mwanaume kuonyesha upendo ni through sex,njia ya mwanaume kujiona kidume Ni Through sex, njia ya Mwanamke kuondoa stress Ni kuhadithia wenzake na mwanaume kuondoa stress Ni through sex,njia ya mwanaume kumkomoa mwanamke wake kiburi Ni through sex.Unaweza ukaona why men love sex..

Note: Sex SI kitu cha kwanzA mwanaume anaangalia kwenye uhusiano wa kudumu ingawa uhusiano bila sex Ni mzigo kwa Malaya wanajua njia rhs ya kula hela za mwanaume Ni kumpa good sex then lia shida zako....

Sex inamfanya mwanaume ajionee attractive,ingawa mwanaume anayegonga hovyo bila kuchagua Ni insecure
 
naomba kujua mbona wanaume mko na high sex drive na ikitokea fursa ya kumla mwanamke unapita nae hata kama humpendi.je nyie kwenu sex na upendo ni vitu viwili tofauti ?? na inakuaje hapo
Ninachojua mwanamke ana sex kwa hisia sana labda awe muuzaji, kwa hiyo linapokuja swala la sex kwa mwanamke ni lazima ampende mwanamume kwanza.
Mwanamke anafanya sex mentally na physically

Tofauti kwa mwanamume ambapo sex ni kama starehe tu mimi ukijichanganya ukaniletea siwezi kuiacha ila ukumbuke kuwa sio kwamba nikipita nawewe basi nitakuwa nina upendo na wewe hapana.
Wanaume tunasex physically tu ili mradi tukishakojoa basi case closed.

Point ni kwamba mwanaume anaweza sex na mwanamke yeyote hata kama hampendi So ukiamua kumtunuku mtu we mpe tu usihoji mengine yatakuja automatically 😉
 
Sex inaweza kuwa bila upendo, ila hakuna upendo Bila sex huo ndio mtazamo wetu.
Hakuna upendo bila sex...??? hapo umekosea man.....upendo unaweza ku exist bila sex....na sex inaweza ku exist bila upendo vilevile.kwa mfano unavompenda baba, mama, shangazi, dada, kaka, binamu, mpwa ..nk..hawa huwa unasex nao..???...Mi nnachojua upendo umegawanyika sehemu mbili (Agape love & Passionate Love)
Kumpenda ndugu au rafiki hio ndo Agape na kumpenda Mpenzi hiyo ndo passionate...Lakini tukija kwenye sex...hapo sasa ndo kunaweza kukawa na upendo (passionate) au kusiwe na upendo kama wanaonunua malaya...Maana malaya unasex nae utimize haja zako na sio kwamba unampenda...hata wanawake wengine tunalala nao kwa matamanio ya ngono bali sio upendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom